Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

8 Reactions
35 Replies
6K Views
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipa afya tele, wakuu niingie kwenye mada moja kwa moja tarehe 6 mwezi 12 mwaka jana niliomba ushauri nifanye nini niweze kuongeza kipato changu. Kwenye ule uzi...
1 Reactions
48 Replies
20K Views
Wakuu, ni biashara gani inayoweza nitoa haraka kama nitaileta mpaka wa Namanga kwa sasa?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari zenu wadau! Najua JF ni darasa tosha kwa vijana. Hivyo mimi kama kijana naomba kujua ninachokiwaza kama kipo sahihi. Mawazo yangu ni kukaanga samaki na kuwasafirisha mpaka Arusha kisha...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Harmonize miaka 4 nyuma alikuwa anauza maji sasa anawafanya kazi wasomi kama Dr. Jembe na mjerumani na choppa na domo, miaka 10 nyuma huko alikuwa anaokota machupa sasa anawafanya kazi waliosoma...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Kwa vile COVID 19 imeharibu uchumi je serkali haioni kama ikipunguza ushuru wa kuagiza magari nje watu wengi wataweza kuagiza Gàri na pato litapanda? Lakini kodi ilivyo kubwa watu waliokuwa na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Fundi umekua ukijiongezea sifa mbaya sana kila majira yanapoenda. Kumekuwa na misemo maarufu kama "Fundi mkweli ni kinyozi tu", lakini hata hili sasa hivi si kweli. Kwanini na malalamiko yote haya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Niwaombe wakurugenzi wa Benki ya CRDB na NMB wawekeeni ma afisa mikopo wenu mitego ya Rushwa maana wanasumbua sana, wekeni katika Wilaya zote na Branch zote nchi nzima, nilifikiri ni peke yangu...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Lakini, kwa bahati mbaya au kwa...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Corona ime-threat biashara nyingi mno, watu wanakwepa kutoka na kuna biashara zimeyumba mno! Niliamini Waziri husika angalau angeshawishi mabenki yasidai madeni hadi hali itakapotengemaa, hata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewateua wajumbe wawili watakaoiwakilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu asanteni kwa maoni
2 Reactions
84 Replies
11K Views
Habarini ndugu zangu, mimi ni mjasiliamali mdogo wa tigo pesa, mtaji ninaozungushia ni laki sita ila nimepata milioni mbili nje ya biashara yangu, nahitaji ushauri jinsi ya kuboresha biashara...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta vifaa za saluni za kiume kama mashine, viti vya kuzunguka, waiting customer chair n.k
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba kwa mtu yeyote anayefahamu kuhusu hii taasisi ya Ultimate Finance mliki wake ni nani naomba anijuze tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama mjuavyo kwasasa kuna mdororo wa biashara hapa nchini haswa Dar kutokana na sababu mbalimbali. Kuna mdau anataka mawazo kuhusu mradi upi awekeze, waswahili husema penye wengi hakiharibiki...
6 Reactions
107 Replies
30K Views
TBS imetoa tangazo na muda kwa wenye biashara tajwa hapo juu kujiandikisha. Jambo la kwanza ni kuwa muda waliotoa ni mfupi sana kwa mfano kwa posho mills ambazo zimesambaa mpaka vijijini sidhani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanajamii nina shida hapa inanisumbua kweli, hivi ina maana bank zetu hazifanyi kazi na Paypal account? Mtu aliye na jibu anisaidie jamani.
2 Reactions
56 Replies
9K Views
1. Barber saloon. Lots of Nigerians are much skillful and very creative but they keep ignoring this business. Starting up a local saloon is not tedious and it quite affordable. 2. Farming. A...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba kujua ni bidhaa zipi zitokazo nje ya nchi bila kodi. Kwa mfano mimi nafahamu sanitary pads japo sijajua kama bado hazina kodi
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…