maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,277
- 5,513
Corona ime-threat biashara nyingi mno, watu wanakwepa kutoka na kuna biashara zimeyumba mno! Niliamini Waziri husika angalau angeshawishi mabenki yasidai madeni hadi hali itakapotengemaa, hata kodi ya vitu vilivyopo bandarini ingepunguzwa ikiwemo na kodi za TRA.
Sijaona Ushiriki wa makampuni Makubwa kama Vodacom, Twiga Cement, Bakhresa, Mo, na mengineyo. Sio tu kwenye kulegeza bei ya bidhaa zao lakini hata kutoa misaada ya Vitakasa Mikono na sabuni za maji etc
Tuwahi kila kitu mapema
Kuna Mahali kila mtu anakosea!
Niko tayari kukosolewa kwa maana ya kujenga nisiwe nimetuhumu wengi.
MP.
Sent using Jamii Forums mobile app