Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi
BRC au Fssc 22000
Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda...
Iko hivi:-
Kila kukicha pesa yetu inashuka thamani 10,000 ya leo kesho itakuwa ni pesa ya kununua kikombe cha chai.
Sasa maada yangu ipo hivi!:
Ikiwa nimeweka 100,000 benki leo hii baada ya...
Wadau nataka nitumie fursa ya kupungua kwa riba benk ya CRDB. Lakini pia nina mkopo utakao isha mwakani. Kuna mtu kanishauri naweza tumia nafasi kupata ka pesa kidogo. Wazoefu nipeni utaratibu
Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa inawakilisha asilimia fulani ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji (mwanahisa) anamiliki hisa...
Nauliza kwa nini mafundi wa kushona nguo wanakuwa hawatajiriki na
Kubaki hivyo hivyo miaka na miaka?
Yaani unakuta fundi miaka na miaka
Yuko hivyo hivyo.
Habari wapendwa nimepata matatizo nina shida ya mkopo wa dharula kwa waliopo Morogoro au popote pale nipo tayari kwa riba yoyote tareh 28 narudisha au kabla ya hapo, au kama kuna mtu anafahamu...
Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000.
Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange.
Hello!,
Hivi ni prepaid card ya bank gani nzuri kwa transactions za kutuma na kupokea online.
Nina verified PayPal account ya Kenya na nahitaji kuwa napokea hela kupitia hiyo prepaid card...
1. Who is Tony Elumelu?
Tony Elumelu (full names are Anthony Onyemaechi Elumelu) is a Nigerian by birth. He is an economist by profession, holding three bachelor’s degrees and a Master’s degree...
Habari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)
Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea...
Kwa utafiti wangu usio rasmi naona upatikanaji wa cement twiga no 42 bado ni changamoto kubwq na inasababisha bei ya cement kupanda. Mfano katika huu utafiti Bei ni 16000 ambayo ni juu sana. Au ni...
Habari za leo wakuu wa idara.
Wakubwa kwa wadogo nahitaji kufungua kampuni ya usafi, kwa uchache sijapata mwanga vizuri kuhusu biashara ya namna hii.
Je ninahitaji vibali kufanya kazi hii? Mtaji...
Hi Wakuu!
Nimepata one of the business partner ambaye yupo Canada ameniomba nimsaidie kutafuta utaratibu unaohitajika kufuata katika uagizaji wa Vifaa tiba Toka Bangladesh.
Mtaji siyo tatizo...
Ukichunguza kidogo utagundua kua biashara nyingi zinazofanikiwa ni za watu wakawaida kabisa ambao hata mambo ya biznes plan, demand and suply hawajui
Ukitoa yale makabila ambayo asili zao ni...
Ni bara pekee tu ambalo ni Afrika, kama kichwa cha habari hapo juu.
• Kwa nini huwa vina kwama au kufa mfano mmiliki akifa tu ndo kila kitu kimekufa mifano hipo mingi.
• Kwa nini biashara za...
Katika Kuunga mkono Kauli ya Raisi Wetu Mpendwa, Watanzania TukazeKamba Tuanzishe Viwanda vyetu.
Kwa Juhudi ndogo niliyofanya nimeona kuwa kumbe TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.