Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Habari za leo wakuu wa idara.
Wakubwa kwa wadogo nahitaji kufungua kampuni ya usafi, kwa uchache sijapata mwanga vizuri kuhusu biashara ya namna hii.
Je ninahitaji vibali kufanya kazi hii? Mtaji wake unaweza kugharimu kiasi gani?
Karibu tupate mwanga kuhusu hili.