Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Wakuu hope mko poa
Nina wazo la kuanza bihashara ya pedi, naomba mnishauri ni pedi gani zinauzika saana. Kati ya HQ, freestyle, Always, softcare etc
Mtaji ni laki8
Wanawake naomba mawazo yenu