Kiwanda cha kusaga unga

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi
BRC au Fssc 22000

Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo.
 
Hiko veti vinahusiana na nini? Niuulizie sehemu kama anavyo maana sio mwerevu sana kwenye hiyo sector,..
 
Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi
BRC au Fssc 22000

Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo.
Unga hausagwi badala yake andika kusaga nafaka (Mahindi, mtama, ulezi n.k)
 
Back
Top Bottom