Kubadilisha Bahrain dinar

Kubadilisha Bahrain dinar

Baba Ndumbwi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
452
Reaction score
719
Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000.

Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange.
 
Bahrain Dinar labda uende Dubai maana Ni majirani na Bahrain - Wazee wa Bata wasiobanwa na Sheria kandamizi Kama Saudia
 
Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000.

Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange.
ulishapata pa kuchange màana na mimi ninayo sijui pa kuipeleka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom