Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU
riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10
na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka...
Kama una uzoefu wa kazi za pedicure na manicure njoo tufanye kazi, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni...
Salamu Waungwana.
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis.
Nimeweka CRDB (Mzigo...
Ndugu Mjasiriamali habari,
Kwa miaka kadhaa tumekua tukipiga kelele TRA irahisishe huduma zake ziwe kama za Brela na Tausi maana struggle ilikua ni kubwa.
TRA wameanzisha mfumo unaitwa IDRAS...
Hakuna kitu ya namna hio hizo ni fix tu za kijiweni.
Kwamba kuna namna mtu akikupa pesa inapotea kimazingira au ukichanganya na pesa ulizokuwa nazo hata kama ni 5M zinasepa.
The popularity of the international forex market has made it the largest financial market in the world. According to a 2019 BIS report, the daily volume of forex traded amounts to $6.6 trillion...
Niaje wajuzi !
kuna kazi fulani nimestahili 200k (kama mil 500 )sasa kuongea na jamaa soon wananilipa wako nje ya nchi wameniomba wanilipe kwa bitcoin kama BTC 1.839926 , sasa muhuni sina hata...
Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital.
Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini...
Habari wadau. Nimewekeza kama 10m kwenye bond fund. Jana nimeona imeongezeka km elfu 30 kwenye account ya UTT.
Lakini pia nilijaza NMB account ndiyo niwe napata gawio langu na niliwekeza tarehe...
Natumaini ni wazima wa Afya na heri ya mapumziko ya mwisho wa mwaka
Najua mwaka huu ulikuwa na changamoto nyingi na baadhi yetu tulikuwa na malengo mengi naimani kwa uwezo wake M/Mungu mwaka...
Habari jamani
Naomba muongozo wa kuuza vinywaji vikali kwa bei ya jumla mtaji wangu ni 20m wapi wanatoa mzigo na muongozo wa biashara kwa ujumla nami nianze biashara ningependa kupata mawazo...
Kabla ya kujisumbua kutumia hela kulipia tangazo Insta au kuboost post. Zingatia haya.
Miaka miwili iliyopita nilipata bahati ya kuajiriwa na kampuni moja ya logistics hapa Tanzania.
Kazi kubwa...
Jamaa kashinda bet kaamua kununua zake bajajj, toyo na boda zake mbili.. anaona maisha kayapatia kishenzi.. anasema tumpe mwaka mmoja tu atakuja kutuajiri kwenye kampuni yake.. watu wazima...
Nataka niwatie moyo vijana wanaohangaika na mitaji mikubwa, basi tumieni hicho kidogo ulicho nacho
Hakuna pesa isiyofanya biashara, pesa yoyote ina uweZo wa kufanya biashara na kuzaa nyingine...
Kwenye mitandao ya kijamii kumejavaa mafunzo mengi kuhusu mafanikio katika maisha au biashara yeyote na mafunzo hayo ni mazuri na nimoja ya njia ya mafanikio
Je umewahi kusikia haya ?
Ukiwa...
Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi.
Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani?
Dp world...
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea.
Mara...
Biashara ya kununua na kuuza ardhi ni mojawapo ya njia bora za kuingia katika sekta ya uwekezaji wa mali isiyohamishika. Hata hivyo, kwa mtu mwenye kipato kidogo, changamoto ya mtaji inaweza...