Naomba kuuliza wanajamii forums je gari hii inafaa kwa mazingira ya Tanzania? Ninachovutiwa ni kuwa na matumizi kidogo ya mafuta. Na pia Suzuki zinaonekana kustahimili misukosuko ya barabara zetu...
Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo.
Tuwasiliane kwa namba 0713851751
Habari za asubuhi wana jukwaa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana nimeoa ninafanya kazi katika kiwanda kimoja hapa Dar, nina mkataba wa miezi 6 now imebaki 3 mkataba...
Salaam wadau,
Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts"
Ahsante.
Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha...
Wakuu habari zenu,leo nimeona ni share idea ambayo imekuwa kichwani kwangu kwa muda mrefu juu ya hii biashara ya kuanzisha ukumbi wa sinema.mtu yoyote ambae ataipenda hii idea nipo tayari kumpa...
Habari zenu wadau,
Naomba tujuzane kidogo mbinu mnazotumia kuendesha hii biashara. Kwa muda kidogo nimepata changamoto za uendeshaji wa hii biashara nikiwa kama mmiliki wa chombo(gari), kutokana...
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia...
Nina uhitaji wa kujua Dawa inayo tumika kusafisha chupa mpya kutoka kiwandani kwa ajili ya kupack vitu tajwa hapo juu.
Sabuni najua haifai hata kuoshea, sasa je ni dawa ipi nzuri inayo tumika?
Wakuu nawasarimu..naomba ushauli wenu...nataka kuanza biashara ya asari kutoa tanzania kupeleka kenya,nasikia inalipa sana.sasa humu kuna watu wazoefu wa hizi biashara naomba mnishauli.
1. Kukosa kujiamini au kutojiamini.
Mara nyingi usipotambua mapema kuwa ndani yako ni mfanyabiashara. Huwa anakua na wasiwasi wa kuanzisha biashara yeyote. Lakini kuna njia nyingi za kupitia kabla...
Habari wadau,
Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami...
Habarini wanabodi na watanzania kwa ujumla.
Takribani wiki mbili na nusu shirika la ndege la Tanzania limekua na mfululizo wa delays za ruti zake mbalimbali.
Kwa wenye ushuhuda hapa jamvini...
Habari wanajukwaa.
Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu...
Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa.
Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo.
1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic
2.Battery - Energizer 9vRL
3.Battery charger(...
Nauza mitungi midogo ya gesi aina ya Manjis. Kwa anayetaka anicheki pm nimpe maelekezo
Karibuni aise ipo 15 tu na bei no 22,000/= only Tanzania shillings
Wadau nataka kuanza hii biashara ila Jambo ninalolijua kwamba wakala wa mitandao ya simu huwa anapata faida wakati mteja anatoa fedha kwake
Je, wakati wa kuweka fedha kwenye line ya mteja wakala...
Vituo vyetu vya LPG vina tenki kubwa la LPG, kitoleo cha LPG, pampu ya LPG, Kifaa cha Kugundua uvujaji na mita. Mita inafanya kazi ya kupima gesi inayojazwa kwenye mtungi au gari moja kwa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.