BIASHARA kuu ntakazo fanya baada ya kuzamia jijini.

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
May 30, 2021
333
671
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia mzunguko wa fedha ni mkubwa kuliko sehem nilipo hivyo basi nimeamua kuzamia jini hivi KARIBUNI na hii hapa chini ndo plani zangu baada ya kufika jijini.

1:huduma za kifedha. Hi Ni biashara ambayo nikifika nitaifanya ili niweze kulipa gharama zingine za maisha kwa mwezi. Kama kodi.umeme maji n.k

2: wakati nikiwa nimefungua biashara ya huduma za kifedha, nitaanzisha kisehem Cha chips ambako nitaweka dogo akiendeshe. Kitakua jirani na sehemu ninayo to huduma za kifedha ambapo itakua vyepes kukagua.

3: kuchongesha vitololi vya kubebea mizigo na kuvikodisha ambapo ntakua napata 3000 kwa siku(Hili wazo nimelitoa humu jamiiforum)

4: kuanzisha biashara ya dagaa kutoka ziwa Victoria na kuwauza kwa jumla, hii ni kutokana na baba yangu Ni mvuvi wa dagaa na samaki(anamitumbwi) kwaio ntakua nachukulia kwake Bei cheap, kwakua mie mwanae na atanisaidia kuzituma kwa uaminifu maana hua anawatumia samaki watu wa dodoma.

5:Kuna biashara moja ya kukopesha hua nampango wa kuianzisha, sikopeshi mtu asiye na biashara nitakopesha mjasiriamali na kiwango Cha kwanza Ni 50,000/= ambapo atakua anarejesha 2000 kila siku kwa mwezi 60,000/ lakin pia nitamuuzia fom 5,000/=. Lakin pia hii biashara nitaifanya wakati nimekua mzoefu wa kutosha na kuwatambua vyema wateja wangu.

6: Nina page Facebook ya kishabiki ya yanga yenye wafuasi 77 elfu, inayo jihusisha na kutoa maudhuhi ya yanga, nimepanga kupitia hiyo naweza kuanza kuuza jezi na kutangaza kupitia page hiyo.

7: Baada ya kufika mjini nitakua naingia humu jamvi kuchungulia wachangiaji wa Uzi huu na kuwapa mrejesho.

Kwa mawazo haya niliyo nayo nitatoboa mji au nijipange kivingine? Kama unakmcha kuongeza au kushauri ili Uzi upendeze tia chumvi kidogo.

Nini maoni yako!?
 
Huu uzi wako umenikumbusha kilimo cha matikiti kwenye makaratasi
 
lakin kilimo huwezi fananisha na baishara kwakua kilimo kinahitaji mbolea, mvua baadae soko, biashara mchawi site afu kwenye biashara sio mgeni saana nafahamu yaliyomo ndani yake.
 
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia mzunguko wa fedha ni mkubwa kuliko sehem nilipo hivyo basi nimeamua kuzamia jini hivi KARIBUNI na hii hapa chini ndo plani zangu baada ya kufika jijini.

1:huduma za kifedha. Hi Ni biashara ambayo nikifika nitaifanya ili niweze kulipa gharama zingine za maisha kwa mwezi. Kama kodi.umeme maji n.k

2: wakati nikiwa nimefungua biashara ya huduma za kifedha, nitaanzisha kisehem Cha chips ambako nitaweka dogo akiendeshe. Kitakua jirani na sehemu ninayo to huduma za kifedha ambapo itakua vyepes kukagua.

3: kuchongesha vitololi vya kubebea mizigo na kuvikodisha ambapo ntakua napata 3000 kwa siku(Hili wazo nimelitoa humu jamiiforum)

4: kuanzisha biashara ya dagaa kutoka ziwa Victoria na kuwauza kwa jumla, hii ni kutokana na baba yangu Ni mvuvi wa dagaa na samaki(anamitumbwi) kwaio ntakua nachukulia kwake Bei cheap, kwakua mie mwanae na atanisaidia kuzituma kwa uaminifu maana hua anawatumia samaki watu wa dodoma.

5:Kuna biashara moja ya kukopesha hua nampango wa kuianzisha, sikopeshi mtu asiye na biashara nitakopesha mjasiriamali na kiwango Cha kwanza Ni 50,000/= ambapo atakua anarejesha 2000 kila siku kwa mwezi 60,000/ lakin pia nitamuuzia fom 5,000/=. Lakin pia hii biashara nitaifanya wakati nimekua mzoefu wa kutosha na kuwatambua vyema wateja wangu.

6: Nina page Facebook ya kishabiki ya yanga yenye wafuasi 77 elfu, inayo jihusisha na kutoa maudhuhi ya yanga, nimepanga kupitia hiyo naweza kuanza kuuza jezi na kutangaza kupitia page hiyo.

7: Baada ya kufika mjini nitakua naingia humu jamvi kuchungulia wachangiaji wa Uzi huu na kuwapa mrejesho.

Kwa mawazo haya niliyo nayo nitatoboa mji au nijipange kivingine? Kama unakmcha kuongeza au kushauri ili Uzi upendeze tia chumvi kidogo.

Nini maoni yako!?
Pambana utatoboa TU!
 
USIKOPESHE mkuu utagombana mpaka n serikali y mtaa.. hizzo dagaa mkuu zilete hapahapa kwetu (mbagla mgeninan ) upige hela mkuu Na hizi chipsi ningejarib kkushaur uzikongojoe kule tauni(mnaz mmoja) naona inalipa Sana pale dit (kituo Cha mwendo Kasi)..
 
Mkuu, Asante kwa ushauri hii comment imenipa nguvu.
 
Fanya jambo moja au mawili ya uhakika yangetosha tu kukupa heshima mjini sanasana hilo la dagaa Kwa jumla na nyingine Moja kutokana na mazingira

Swala la kukopesha kama uko vzri kimtaji ungeachana nalo tu maana huko utakutana na waliozaliwa kufelisha wengine japo Hali halisi ya uchumi inachangia
 
Biashara ya dawa za nguvu za kiume kwa dar inalipa Sana mkuu usiende Kijiji Baki mjini
 
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia mzunguko wa fedha ni mkubwa kuliko sehem nilipo hivyo basi nimeamua kuzamia jini hivi KARIBUNI na hii hapa chini ndo plani zangu baada ya kufika jijini.

1:huduma za kifedha. Hi Ni biashara ambayo nikifika nitaifanya ili niweze kulipa gharama zingine za maisha kwa mwezi. Kama kodi.umeme maji n.k

2: wakati nikiwa nimefungua biashara ya huduma za kifedha, nitaanzisha kisehem Cha chips ambako nitaweka dogo akiendeshe. Kitakua jirani na sehemu ninayo to huduma za kifedha ambapo itakua vyepes kukagua.

3: kuchongesha vitololi vya kubebea mizigo na kuvikodisha ambapo ntakua napata 3000 kwa siku(Hili wazo nimelitoa humu jamiiforum)

4: kuanzisha biashara ya dagaa kutoka ziwa Victoria na kuwauza kwa jumla, hii ni kutokana na baba yangu Ni mvuvi wa dagaa na samaki(anamitumbwi) kwaio ntakua nachukulia kwake Bei cheap, kwakua mie mwanae na atanisaidia kuzituma kwa uaminifu maana hua anawatumia samaki watu wa dodoma.

5:Kuna biashara moja ya kukopesha hua nampango wa kuianzisha, sikopeshi mtu asiye na biashara nitakopesha mjasiriamali na kiwango Cha kwanza Ni 50,000/= ambapo atakua anarejesha 2000 kila siku kwa mwezi 60,000/ lakin pia nitamuuzia fom 5,000/=. Lakin pia hii biashara nitaifanya wakati nimekua mzoefu wa kutosha na kuwatambua vyema wateja wangu.

6: Nina page Facebook ya kishabiki ya yanga yenye wafuasi 77 elfu, inayo jihusisha na kutoa maudhuhi ya yanga, nimepanga kupitia hiyo naweza kuanza kuuza jezi na kutangaza kupitia page hiyo.

7: Baada ya kufika mjini nitakua naingia humu jamvi kuchungulia wachangiaji wa Uzi huu na kuwapa mrejesho.

Kwa mawazo haya niliyo nayo nitatoboa mji au nijipange kivingine? Kama unakmcha kuongeza au kushauri ili Uzi upendeze tia chumvi kidogo.

Nini maoni yako!?
Unahisi Kama rahisi vile Kama kumla manzi kiboga
 
Fanya jambo moja au mawili ya uhakika yangetosha tu kukupa heshima mjini sanasana hilo la dagaa Kwa jumla na nyingine Moja kutokana na mazingira

Swala la kukopesha kama uko vzri kimtaji ungeachana nalo tu maana huko utakutana na waliozaliwa kufelisha wengine japo Hali halisi ya uchumi inachangia
Shukrani mkuu, hapa nimeweka plan zote ambazo nitaenda anzo mjini lakin si zote nitazifanya ila nitaangalia mbili za mihimu Kama ulivyo sema kulingana na mazingira ntakayo kuwepo.
 
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia mzunguko wa fedha ni mkubwa kuliko sehem nilipo hivyo basi nimeamua kuzamia jini hivi KARIBUNI na hii hapa chini ndo plani zangu baada ya kufika jijini.

1:huduma za kifedha. Hi Ni biashara ambayo nikifika nitaifanya ili niweze kulipa gharama zingine za maisha kwa mwezi. Kama kodi.umeme maji n.k

2: wakati nikiwa nimefungua biashara ya huduma za kifedha, nitaanzisha kisehem Cha chips ambako nitaweka dogo akiendeshe. Kitakua jirani na sehemu ninayo to huduma za kifedha ambapo itakua vyepes kukagua.

3: kuchongesha vitololi vya kubebea mizigo na kuvikodisha ambapo ntakua napata 3000 kwa siku(Hili wazo nimelitoa humu jamiiforum)

4: kuanzisha biashara ya dagaa kutoka ziwa Victoria na kuwauza kwa jumla, hii ni kutokana na baba yangu Ni mvuvi wa dagaa na samaki(anamitumbwi) kwaio ntakua nachukulia kwake Bei cheap, kwakua mie mwanae na atanisaidia kuzituma kwa uaminifu maana hua anawatumia samaki watu wa dodoma.

5:Kuna biashara moja ya kukopesha hua nampango wa kuianzisha, sikopeshi mtu asiye na biashara nitakopesha mjasiriamali na kiwango Cha kwanza Ni 50,000/= ambapo atakua anarejesha 2000 kila siku kwa mwezi 60,000/ lakin pia nitamuuzia fom 5,000/=. Lakin pia hii biashara nitaifanya wakati nimekua mzoefu wa kutosha na kuwatambua vyema wateja wangu.

6: Nina page Facebook ya kishabiki ya yanga yenye wafuasi 77 elfu, inayo jihusisha na kutoa maudhuhi ya yanga, nimepanga kupitia hiyo naweza kuanza kuuza jezi na kutangaza kupitia page hiyo.

7: Baada ya kufika mjini nitakua naingia humu jamvi kuchungulia wachangiaji wa Uzi huu na kuwapa mrejesho.

Kwa mawazo haya niliyo nayo nitatoboa mji au nijipange kivingine? Kama unakmcha kuongeza au kushauri ili Uzi upendeze tia chumvi kidogo.

Nini maoni yako!?
"Biashara zote ni nzuri na zinalipa ukisimuliwa"... Niliwahi kuona mwanaFA ameandika.

Sikuvunji moyo ila kla kitu kinawezekana ukiamua hasa ukifanya kile unachokipenda kutoka moyoni.

All da'best Mkuu!!!
 
Hapo ni uthubutu na uvumilivu tu, ila mipango iko sawa sema chagua biashara mbili tu ktk hizo na achana na maswala ya kukopesha waja, watakusononesha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom