Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nilihamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB, tatizo wakati nahamisha nilikuwa nadaiwa salary advance. Baada ya kuchelewa kulipa Kwa muda wa wiki moja nikawekwa kwenye blacklist. Wazoefu natoka...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu mie ni ni mfanyakazi kama siyo kibarua, nalipwa 500,000 kwa mwezi lakini kila nikijitahidi kupanga bajeti nashindwa. Najikuta nikipewa mshahara tarehe 24 kufika tarehe 10 ya mwezi...
10 Reactions
73 Replies
33K Views
Habari wadau anahitajika mtu alaiyemaliza civil engineering Haijalishi uzoefu awe mkazi wa arusha Mawasiliano 0622115570 or 0712206032
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Tunakubaliana kuwa watu weng baada ya corona wamejua thaman ya kula kwa afya ikiambatana na kula zaid vyakula vya asili vyenye virutubisho muhim na kwa wingi. Sasa mimi nina ndoto ya kufunga...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni unaesoma thread hii, kuna mtu alini invite Tala foundation nikakubali na kuangalia kuhusu wao na nikaona kwamba wanatoa mikopo ya chapchap.... Basi nikajaribu kuwasiliana nao kwa...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
Hbarini wafanyabiashara. Binafsi ni kijana nimeingia 31, ni muajiriwa seikalini shirika flani, Nilikuwa navutiwa sana na ujasriamali hivyo na mimi nikaona nisijivunge. Nikaona nifungue...
8 Reactions
132 Replies
17K Views
Jamaa yangu ana kiasi Cha Tzs 18m. Anataka kufanya biashara ya online tv, nimemwambia aachane nayo, afanye biashara ya saloon ya like na kiume. He ungekuwa wewe ungemshauri kitu gani
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kuna jamaa yangu amekaa sana nje, shughuli aliyokuwa anafanya huko nje ni ya clearing and forwarding, Ila kutokana na huu ugonjwa shughuli zimepoa sana. Anategemea kurudi nchini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je kuuza kipande kimoja Cha sabuni nitoe risiti na mnunuI adai risiti?
0 Reactions
7 Replies
875 Views
Naomba mwenye uelewa anisaidie nataka kuanzisha biashara km ilivyoelezw hapo juu je n hatua gn z kufata? Je changamoto zkoje? Na faida zkoje? Kwa maana comission zkoje?
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka. Chanzo cha hali hii ni nini? Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello guys! naomba anaejua anijuze. Nina project nime develop nikaipeleka bank flani hapa wamekua interested na hio kitu but wanataka waone prototype ndo wafanye investment. Prototype inagharim...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za mchana raia wawajibikaji, bila shaka mu wazima. Naomba ushauri kuhusu *Mtaji *Maeneo mazuri kibiashara *Undeshaji. Biashara ya mgahawa wa nyama choma, aidha kitimoto/mbuzi au ng'ombe...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii. Hivyo naomba mtu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7 Kabla sijakwambia hayo makosa...
16 Reactions
18 Replies
4K Views
Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
maisha yana kwenda kasi sana.kipindi cha nyuma kabla mchina kutuletea mabaja ya kubebea mizigo kulikuwa na m'badala wa usafiri ambayo ni maguta na matoroli ambayo yana tumia mataili ya gari. Huyu...
1 Reactions
1 Replies
700 Views
Habari wana jamvi. Samahani wanajamvi, ninawazo la kutaka kufanya biashara ya kufungua duka la vyombo vya ndani. Kama kuna anaejua sehemu vinakopatikana kwa bei ya jumla jumla lakini kwa bei...
1 Reactions
3 Replies
46K Views
Back
Top Bottom