Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,903
- 3,140
Habari za mchana raia wawajibikaji, bila shaka mu wazima.
Naomba ushauri kuhusu
*Mtaji
*Maeneo mazuri kibiashara
*Undeshaji.
Biashara ya mgahawa wa nyama choma, aidha kitimoto/mbuzi au ng'ombe na vyakula kama ugali/ndizi n.k
Naomba ushauri wenu uzingatie vipengele vitatu tajwa hapo juu.
Karibuni [emoji4]