Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani mwenye uelewa juu ya hii KAZI ya kusajili lain,na maslah yake inakuaje. Naombeni mnisaidie.kwa kunipa ushauri, natamani nifanye hii KAZI, Mm ni mdogo enu nisaidieni Kwa ushauri na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ACCOUNTING CONCEPTS Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara. Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza...
7 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalaam, Naomba msaada kwa anayefahamu. Ninataka kununua gari kutoka kwa mfanyakazi wa Ubalozi hapa Tanzania. Gari limesajiliwa kwa namba za kibalozi T---CD---. naamini huwa magari haya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa mbinu na hatua ninazoweza kukata ili kuanzisha Kituo cha Ushauri wa Biashara,ujasiriamali na mauzo (Business,entrepreneurship& Sales consultant)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wengi wamekuwa wakisikia nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini Tanzania lakini hawajui nini cha kufanya ili kupata wanunuzi walio nje ya...
19 Reactions
57 Replies
14K Views
Habari JF. Kama kuna mtu yeyote ana Degree, Master au hata PHD ya uchumi naomba tuwasiliane. Lakini pia kama mtu yeyote ana uelewa juu ya masuala mbalimbali ya uchumi naomba anitafute PM...
1 Reactions
9 Replies
896 Views
Fikiria kuhusu Mishe zako zinazokupa Kula kila siku, usihamishie nguvu kwenye Ajira za sensa. Iyo nikitu ya kupita tu
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu wengi nimekuwa nikisoma thread zao humu kuhusiana na cryptocurrency, METAVERSE na NFT Nimegundua vitu vifuatavyo 1. Watu wengi wamepitia changamoto nyingi sana katika utafutaji wao hasa...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Salute every body. Ni swali kwa members wote. Ni lini ulifanikiwa kutengeneza/kuingiza/kupata Milioni kumi yako (ya kwanza kabisa)? Ilikuwaje? Ulitumia muda gani? Shughuli gani ilikupa kiasi...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari ya wakati huu wanajamvi! Leo nimeona vema niwaletee mezani mada hii. Katika harakati za kupambana na Maisha kama kijana pia mwenye kiu ya kufanikiwa nilikutana na jamaa mmoja mwenye...
14 Reactions
111 Replies
24K Views
Tokea niipate hi tokea kwa Ontario nakomaa nayo. Ningependa tujuane ambayo bado hatujakata tamaa pia tunajua kuwa yafuatayo : 1- Ussain Bolt alikimbia chini ya dakika mbili ila ndani ya huo muda...
7 Reactions
79 Replies
14K Views
Ndugu wadau,Kuna muda nilikuwa nafatilia Mada za Antorio kuhusu Forex. Nakumbuka kunakipindi nilikuwa nje ya JF kwa muda wa miezi 3 nikakuta Uzi wa Antorio Una maelfu ya wachangiaji lakini...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Bandugu fursa nyingine hiyo mtaji mdogo tu kama m2 ivi, especially kwa wale wa mikoani, tafuta sehemu yako yenye marisho mazuri, nunua ng'ombe hata watano kwa lak 2 au 3 , walishe vizuri uza baada...
17 Reactions
82 Replies
35K Views
Habari zenu wana JF Nahitaji kujua wapi nitapata Tank za kuhifadhia maji masafi Aina ya Tank, gharama zake, na litter ngapi za maji kwa Tank. Asanteni!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wetu mpendwa mama Samia ametoa agizo kwa BOT ianze mchakato wa kuruhusu Sarafu za mtandaoni zinazojulikana kama Crypto-Currency au virtual money zianze kutumika. Wakati kuna baadhi ya...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Forex Power Trade to get financial freedom All the best traders
32 Reactions
224 Replies
67K Views
Habari za muda wakuu, Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China na South Korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza anahitajika mfamasia Location : kibaha Mshara maelewano Kwa aliye tayari Ani pm chap
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara. Mwenye uhitaji DM...
0 Reactions
7 Replies
777 Views
Back
Top Bottom