B BAMIZER Member Joined May 2, 2022 Posts 51 Reaction score 62 May 24, 2022 #1 Fikiria kuhusu Mishe zako zinazokupa Kula kila siku, usihamishie nguvu kwenye Ajira za sensa. Iyo nikitu ya kupita tu
Fikiria kuhusu Mishe zako zinazokupa Kula kila siku, usihamishie nguvu kwenye Ajira za sensa. Iyo nikitu ya kupita tu
Dit000 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 723 Reaction score 1,091 May 24, 2022 #2 BAMIZER said: Fikiria kuhusu Mishe zako zinazokupa Kula kila siku, usihamishie nguvu kwenye Ajira za sensa. Iyo nikitu ya kupita tu Click to expand... Ni kweli kabisa
BAMIZER said: Fikiria kuhusu Mishe zako zinazokupa Kula kila siku, usihamishie nguvu kwenye Ajira za sensa. Iyo nikitu ya kupita tu Click to expand... Ni kweli kabisa
More ideas Senior Member Joined Jun 2, 2019 Posts 115 Reaction score 89 May 27, 2022 #3 Hakikisha kinapita kwako
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,849 Reaction score 113,279 May 28, 2022 #4 Hivi yenyewe inaitwa ajira...😳
Masangutu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 814 Reaction score 653 May 29, 2022 #5 Hivi wanalipwa sh.ngapi mawakala wa sensa?