Unataka ile ya kupita mtaani au u atakaje kuwa wazi zaidiJamani mwenye uelewa juu ya hii KAZI ya kusajili lain,na maslah yake inakuaje.
Naombeni mnisaidie.kwa kunipa ushauri, natamani nifanye hii KAZI,
Mm ni mdogo enu nisaidieni Kwa ushauri na maelekezo, tafahali