Nimeona jamaa anatuandikia nyuzi ndefu lakini ukiangalia hamna point hata moja nilitegemea nyuzi zake ziwe zinatoa suluhisho kwa kijana na mtu yoyote anayetaka kufanikiwa
Niliitegemea awaambie...
Unafikiria kuwekeza kwenye Hatifungani ya Serikali Tanzania?
Mnada mpya wa Treasury Bond ya miaka 25 unatarajiwa kufanyika tarehe 24 Juni 2026. Hatifungani hii ina kiwango cha riba cha 13.25% kwa...
Nipo Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya Mbinga, kila mwezi lazima nipate usumbufu huo, ukiomba kupitia Email hawajibu, ukipiga simu huduma kwa wateja wanakwambia uende ofisini ujaze form usubiri kama week...
INTRO
Property appreciation ni ongezeko la thamani ya mali (land au building) kadri muda unavyopita kutokana na factors mbalimbali kama location, demand, infrastructure development, na economic...
Habari za wakati;
Habari za wakati huu.Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Ujenzi wa Taifa na Uchumi binafsi.
Leo nataka nilete mada hii kwa ufupi ili nichokozi mjadala uanohusu soko...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb), Juni 15, 2026, ameeleza Bungeni kuwa tangu Serikali ilipofanya marekebisho ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOKA) mwaka 2016, kampuni...
Naomba kuuliza Wakuu
Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu...
Kutokana na ongezeko la mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, Serikali imekuja na mpango wa miaka 10 kuanzia Julai 2026 kwa ajili ya kupanua maeneo ya kuhifadhi mizigo kwa ujenzi wa bandari kavu...
Habari,
Kwa muda sasa tangu nimehitimu chuo Kikuu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi japo kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2018 sijafanikiwa kupata ajira hivyo...
NA PANDEX HERBAL
π KUTOKANA NA UZOEFU WA MATIBABU YA TATIZO HILI (BAWASIRI).
β€΅οΈ Kwa kawaida, KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma. Hali hii...
Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi
1. Soft drinks
2. Nafaka
Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji...
Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima.
Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho.
Nahitaji Tajiri...
Watu wengi bado wanaamini kuwa kuwa na Facebook page au WhatsApp pekee kunatosha kwa biashara au taasisi kukua, lakini ukweli ni kwamba website ni ofisi yako rasmi mtandaoni (digital office)...
MWANZA SAMAKI FRESH: Tunatafuta Ushirikiano wa Kibiashara
Habari ndugu wanajamii JF:
Mimi ni Emmanuel Mashack, mwanzilishi wa biashara ya Mwanza Samaki Fresh, tunajishughulisha na uuzaji na...