Msaada: Soko la biashara ya nazi kwa Dar es Salaam

kilanio

JF-Expert Member
May 30, 2015
221
69
Habari wakuu,
Nimejaribu kuchunguza uhitaji wa nazi ndani ya jiji la Dar es Salaam,nataka nianze kuuza nazi kwa kufanya uchuuzi toka Pwani kuleta Dar na kuuza kwa wauzaji wa reja reja, naomba tafadhali kujua mwenye uzoefu na hii biashara changamoto zake na pia ukubwa wa soko lake kwa Dar es Salaam...Ahsante
 
Nimefuatilia nazi ukitaka kuuza kweli uende na fuso pale sterio au ilala unauza siku 2 au 3 unakunja milion 2 yako unaondoka mdogo mdogo kununua bundle na kuperuzi insta na jamiiforum .lakin sio rahisi kihivyo hadi kuzileta hapo sokon utahenyeka sana kwenye kukusanya hadi kufika sokon unaweza chukua wiki 2 .ni biashara nzuri ila capital yake ni kubwa pia kama unataka kuifanya serious .....huku mtaan wanauza 1,200 hadi 1,400 inamaana hawa wananunua buku hadi 900 spkon.
 
Capital kama bei gani..na mzigo wabei rahisi huwa unachukulia wapi..kukusanya sio shida sana ni kuwapa task vijana tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom