Habari wana JamilForums,
Mimi ni fundi mbobevu wa samani
(furniture maker) na mwanzilishi wa chapa
ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara...
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi...
Habari wana JF, hili ni jukwaa kubwa na zuri linalowapa watu ujuzi na maarifa katika nyanja tofauti tofauti
Hebu tusaidiane hapa ni Uzi gani humu ulioupitia na kuufanyia kazi, kwa kiasi kikubwa...
Habari....!
Nahitaji Kampuni ama Kiwanda Cha size ya kati kinachozarisha na kuuza Mafuta ya Alizeti.
Mteja yupo nje ya Nchi, anahitaji Kwa kuanzia Tani 2,500.
Unaweza kuja DM tukayajenga.
Sasa unaweza kupata Vodacom unlimited PREPAID au POSTPAID BANDO za kulipia kila mwezi.
Kuungwa ni ndani ya muda mchache haifiki dakika 5.
Kigezo ni uwe na kifaa chako na kama huna tunakuuzia kwa...
Ndoto Za Wengi Ni kuwa Na Biashara Mijini Hasa Kwenye Frame Ila Ukweli Mchungu Biashara Nyingi Hasa za Uchuuzi Haziendi Zimebaki Ni Za Misimu,
Biashara Nyingi za MIjini Hazina Faida ya Moja kwa...
Kutoka mezani kwa Adama H kigamboni Dar esaalam
Rafiki
Ndani ya second 60 zijazo Nitaenda kukuonesha sababu kubwa Tano za kwanini wateja hawanunui Bidhaa au
Huduma Yako
Na Hizi sababu...
Habari wakuu 👋
Je, unamiliki biashara au kampuni na unataka kuipeleka level nyingine kwa kutumia teknolojia ya kisasa? Nakuletea huduma za kitaalamu zinazokusaidia kuokoa muda, kupunguza gharama...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, kimefanya warsha ya kuwasilisha na kujadili matokeo ya mradi wa utafiti kuhusu matumizi ya teknolojia ya...
Wataalam wa kutengeneza garden na kupanda bustani za maua kwenye makazi, Ofisi na maeneo yanayozunguka makazi ya watu.
Karibuni Sana Kwa huduma Bora. Piga Namba: 0714693107
Achana na motivational speakers waliojiajiri kwa kuuza matumaini kupitia maneno matamu wakiiemba biashara ionekane easy money.
Huu ni uwanja uliojaa ushindani, kukomoana, kuibiana wateja, maneno...
Utaratibu wa manunuzi katika baadhi ya maduka, kampuni na taasisi unachangia kupunguza mapato yao bila wao wenyewe kujua.
Mimi ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi, nafanya biashara katika level...
Habari wana JF.
Kwa wale wote wanao hitaji kufanya biashara/kuwekeza Kariakoo. Naomba msiogope hivi sasa ndiyo wakati mzuri sana wa kuwekeza/kufanya Biashara Kariakoo Majengo mapya yanajegwa kila...
Wakati mwingine sisi wenye biashara tunaonekana wakali au wenye roho mbaya kwa wasaidizi wetu, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawaoni mzigo tunaoubeba kila siku. Hawajui hasara tunazopata, kodi...
Wakuu, poleni na majukumu.
Naomba msaada wa taarifa. Nina fedha za Ivory Coast (CFA Francs) na kwa sasa nipo Dar es Salaam. Nimejaribu kuzunguka katika benki mbalimbali pamoja na Bureau de Change...
VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe
Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha.
Ukweli ni kwamba wengi wetu...
Nahitaji kununua gari ya biashara aina ya coster, najua kuna wajuzi wa haya mambo nahitaji kufahamu gharama za uendeshaji wa hii biashara, itanilipa baada ya muda gani, na hasara zake ni zipi...