Kwa Nini Biashara ya Spea za Pikipiki Ina Fursa Kubwa Tanzania?
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pikipiki nchini Tanzania yameongezeka kwa kasi kutokana na ukuaji wa huduma za usafiri...
Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa...
A VAT refund is a request filed by the taxpayer to the commissioner general with the intention of receiving reimbursement for excess VAT paid within a specific time period when input VAT exceeds...
Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule...
Wadau salami zenu habari za jpili nilikuwa nahitaji msaada kujua maeneo mazuri kwa hapa dar unayoweza kutembeza mtumba wako ukatoka Bei nzuri maana nimezoea sinza sahizi pameshavamiwa,nguo za...
Habarini wana JF,
Kama ada ya Watanzania wengi, nina wazo la kuuza internet kwa watu.
Muda mrefu nimekuwa nikifanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii nimegundua biashara hii inaweza ikafanywa...
Mimi ni kijana na last time April nilinunua ofisi ya kinyozi (saloon) kwa gharama zisizopungua 700K pale Mbeya mjini. Kwa mujibu wa aliyekuwa mmiliki wa hiyo ofisi hapo awali, ni kwamba alikuwa...
TAARIFA KWA UMMA
DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE.
Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE
Usibofye...
Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na...
Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
Heri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics...
Hello wapendwa
Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama
Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa...
Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa...
Nimepata fursa ya kufika eneo la MAGHALANI -MTWARA. Eh bwana eeh nilichokishuhudia imenifanya nijiulize mara mara mbili mbili kwa nini MTWARA mpaka sasa ipo nyuma kimaendeleo namna hii.
Yani...
Ni wiki ya tatu sasa nikiwa najaribu kutumia mfumo wa BRELA kusajili jina la biashara, lakini nakumbana na changamoto ile ile kila mara. Mfumo unaonesha kuwa barua pepe (email) imetumwa, lakini...
Taasisi Za Umma Nyingi Zinazohusika na Vibali (Regulatory Authorities) Kama BRELA TBS TMDA TCRA NEMC EWURA LATRA TRA OSHA GCLA n.k
Hebu Ifike Hatua Tufanye Kazi Kwa kuwezesha zaidi na si kuzuia...
Salam kwenu wakuu.
Nimeanzisha uzi huu tuweze kupeana connection za kimaeneo na fursa zilizopo kwa sisi watafutaji na watu wa kujilipua.
Karibuni tujadili
Kwa upande wangu nipo tukuyu. Fursa za...