Hii ni bondi (hati fungani) ya kwanza kabisa ya Shilingi ya Tanzania kutolewa kwenye soko la hisa la kimataifa. Lakini hii si bondi ya kwanza ya IFC (IFC ni miongoni mwa taasisi za kifedha zilizo...
Biashara ya vinywaji inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato kwa sababu bidhaa zake hutumiwa kila siku kwenye nyumba, ofisi, migahawa, sherehe na mikusanyiko mbalimbali. Hata hivyo, ili biashara hii...
N.B: Ninachozungumzia hapa ni biashara zetu wabongo. biashara zetu humtegemea sana mmiliki wake kiasi kwamba asipokuwepo hata mwezi 1 tu nazo huanza kudorora. ni tofauti na Wahindi au Waarabu...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze.
Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya...
Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja.
Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri)...
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu minada ya mbuzi na kondoo inayopatikana katika maeneo ya Arusha, Morogoro, Geita, Shinyanga, Moshi na Manyara.
Pia nitashukuru sana kama mtaweza...
Biashara ya vipodozi inaweza kuwa na faida kubwa kwa sababu bidhaa za urembo hutumiwa kila siku na wanawake, wanaume, saluni pamoja na wataalamu wa makeup. Hata hivyo, mafanikio yake yanahitaji...
KUNA VITA KUBWA INAYOENDELEA NDANI YA AKILI YA KILA KIJANA...
1. Wengine wanaamini hawawezi.
2. Wengine wanasubiri ajira.
3. Wengine wanaogopa kuanza.
Lakini ukweli ni huu... Maisha hubadilika...
Wakuu, katika harakati zangu za biashara, nikakutana na kampuni B mtandaoni.
Kutokana na bidhaa zao walizozichapisha kwenye ukurasa wao, ziliweza kunivutia sana na kunishawishi kufanya nao...
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo...
Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena...
habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni...
Naomba kuwasilisha tatizo lililopo mtandao wa simu Airtel, kuna Meneja wa Operesheni ni Mnigeria ananyanyasa sana wazawa Watanzania, anatumia lugha za udhalilishaji pamoja kutishia kufukuza kazi...
Habari!
Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia...
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo...
Jeans ni moja wapo ya vazi linalopwenda zaidi na jinsia zote hasahasa Jen Z kwa trend ya hivi karibuni
Kwenye kuchagua bell la mtumba wa jeans huwa unazingatia nini ili kuzuia kupigwa au kuuziwa...
Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200...
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo...