Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Natafuta hela na zinapotea kwa mkupuo mkupuo ivi nitaendelea kweli najitahidi sana kufanya mahesabu sahihi ila nachoshangaa nikiwa sina pesa nakuwa na amani Wala hakuna anayeniomba. Lakini...
4 Reactions
18 Replies
964 Views
Bismillah... Nimeanza biashara ya kiepe yai. Chipsi zege Dar es Salaam ila nachoomba kutoka kwa wadau wazoefu ni namna gani naweza kuongeza return per day kwa maana hapa gharama za mafuta ni...
5 Reactions
23 Replies
25K Views
Wadau, Katika kupambana na 45 Million sasa kuna benk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum. Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi...
3 Reactions
138 Replies
24K Views
je haki imeshatengeka? na sheria za madini je? Dhahabu ya damu' ya Bulyanhulu haki itendeke kwa damu iliyomwagika MIAKA 15 imepita, lakini sauti za wachimbaji wadogo wa dhahabu waliouawa kwa...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Should the nonprofit attempt to target all potential charity donors with its fundraising, or should it focus on specific groups of donors, particular types of people, particular types of...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Wanajamvi zipo changamoto nyingi kuhusiana na mikopo inayotolewa kupitia Application za simu kama Umoja Loan, Premium, Branch na wengineo ikiwemo mteja kubambikiziwa riba kubwa sana zaidi ya...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Jamani sikia, omba yasikukute. Baada ya kupigika na kupoteza mtaji wangu wote kwenye uchimbaji nilikuwa najishughulisha na uchimbaji madini...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu...
3 Reactions
138 Replies
36K Views
MBUNGE MAHAWANGA AZINDUA KIWANDA CHA USHONAJI KATA YA WAZO Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga ameungana na mamia ya Wanawake wa Tawi la Kisanga Kata ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajf natumai mpo poa, Naomba anayejua duka ambalo naweza pata mota kwa bei nzuri ukiachana na autosokoni. Nawasilisha kwa msaada.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wana trade forex karibuni tujadili pamoja pair za kutrade, kushare signals, kufanya analysis na kujadili kuhusu take profit and stop loss. Wazee wenzangu karibuni sana tu share...
2 Reactions
81 Replies
23K Views
Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za Leo wanaJF, Nilitamani kuanzisha duka la simu, kwenye utafiti wangu, Kuna watu wakaniambia ninaweza kuuza cash na kuuza kwa mkopo. Sasa hii biashara ya kuuza simu kwa mkopo...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu, Nilikuw napenda kuwa wakala wa sukari au mafuta kutoka kiwandani. Yaani kuwa mfanyabiashara yoyote mwenye abc za kuwa uwakal wa bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kabla sijazungumzia kuhusu nidhamu na motisha ( discipline and motivation) Nianze Kwa kutoa mfano, Hapo zamani kidogo nilipokuwa nasoma sekondari nilikuwa napenda Sana kuangalia filamu za akina...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
WADAU Salamu sana kwenu. Awali nilifanya biashara kama proprietor na Kwa kuwa nilizihudumia taasisi za serikali basi nililazimika kununua EFD machine. Changamoto ni kwamba unaweza ku supply...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Kilimo kina madoni Uchimbaji madini una madoni Vitenge kuna madoni Car wash zina madoni Bar zina madoni, samaki zina madoni restaurant zina madoni hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Waungwana nataka kufungua biashara hii maeneo kama Tabata au Goba naomba msaada wa mawazo mtaji mdogo kiasi gani naweza kuanza nao na being za fremu maeneo hayo. Wenye uzoefu naomba msaada went...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
Natafuta mtu anaeweza kuandika "Business plan/Andiko la mradi" kwajili ya kupata mkopo wa trekta benki. Mwenye samples au mwenye ujuzi plse check me on +255717217520
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wafanyabiashara leo nilikuwa Ofisi za TRA mkoa flani kwaajili ya kufunga biashara kutokana na kodi kuwa kubwa na gharama za uendeshaji kuwa kubwa nilijaribu kuongea nao naona wako mbali na...
1 Reactions
3 Replies
559 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…