Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Biashara ikiwa inaanza kuna stress ya kupata wateja Biashara ikipata wateja wengi na mauzo mazuri kuna stress ya usimamizi(wasaidizi waaminifu, kuweka rekodi n.k) Biashara ikikuwa, au umepata...
2 Reactions
11 Replies
320 Views
Moja kwa moja kwenye mada, Kama wewe ni kijana unayejitafuta na unatafuta biashara ya kuanza kwa mtaji unaoweza kuimudu, biashara ya vifaa vya baiskeli inaweza kuwa fursa nzuri sana — hasa kwa...
2 Reactions
7 Replies
352 Views
Habari ndugu Naombeni uzoefu kwa wenye uzoefu , nataka kufanya biashara ya FUSO tandam niwe nasafirisha mizigo , Kwenda Dodoma na Arusha na dar , iringa Bei za safari zikoje Je ni biashara...
7 Reactions
10 Replies
439 Views
Nataka kufahamu range ya makato kwa Kila mtandao yapoje maana naona kila sehemu pana makato yake kwa wakala, ukilipa kwa simu mitandao yote.
2 Reactions
7 Replies
267 Views
"Karibu Tena?" Simulizi ya Huduma kwa Wateja Tanzania Kati ya Tabasamu la Bandia na Ukimya wa Kaunta. Uchambuzi wa hali halisi ya huduma kwa wateja katika biashara za Tanzania kubwa na ndogo...
4 Reactions
10 Replies
330 Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
4 Reactions
– Replies
– Views
Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu. Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
6 Reactions
60 Replies
973 Views
Mteja anapotafuta jina la biashara yako mtandaoni na asilipate, anafikiria nini? Huenda akaanza kujiuliza kama biashara bado ipo au inaweza kumsaidia. Mara nyingi hatakupigia simu kuuliza. Na kama...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
Salam wana Jf Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs. Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data...
2 Reactions
20 Replies
680 Views
Beach plot for sale Size sqm 1875 (hati ya wizara) Location: Gezaulole kigamboni Bei: Milioni 400 Call/WhatsApp +255758844717
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika. Tatizo ni nini???
3 Reactions
15 Replies
339 Views
Biashara: Ukifuga mbuzi 10 leo mpaka mwakani utakuwa na mbuzi zaidi ya 20 mwaka unaofata utakuwa na mbuzi zaidi ya 100. Mbuzi mmoja sokoni ni Laki 2 mara mbuzi 100 ni Milion 20 . Ukiwa na Mbuzi...
10 Reactions
22 Replies
464 Views
📰 WASHI CEMENT KUJENGA KIWANDA CHA SARUJI TANGA Tanga yazidi kuvutia uwekezaji mkubwa katika sekta ya ujenzi. Kampuni ya Washi Cement Group Company Limited kutoka China imewasilisha mpango wa...
1 Reactions
2 Replies
176 Views
Hellow wana JF. Look around you kila kitu kilicho kuzunguka kimetengenezwa nchi nyingini yani kila kitu mpaka chupi/boxer/taiti uliyoivaa hapo imetengenezwa kwenye nchi nyingine. Vitu vyote vya...
4 Reactions
16 Replies
151 Views
Habari wana jukwaa na wawekezaji wote. Mimi ni mjasiriamali mwenye uzoefu wa miaka minne katika sekta ya ujenzi hapa Mapinga Bagamoyo. Eneo hili lina kasi kubwa ya ujenzi wa makazi kwa...
2 Reactions
2 Replies
173 Views
Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa. Baadhi...
0 Reactions
3 Replies
193 Views
Habari zenu wana jamvi, Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…