Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

habari waku,nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza mazao ya chakula kama mahindi,maharage na mengine .kwasasa nimeshafanya michakato ya kupata fremu ya kuuzia ila sijajua naanzia wapi kufanya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani. Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
401 Views
Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh. 1. Dar es Salaam - 4,678,751 2. Iringa - 4,028,544 3. Mbeya - 3,788,604 4. Ruvuma - 3,396, 587 5. Kilimanjaro - 3,393,587 Mikoa masikini Tanzania 1...
12 Reactions
52 Replies
72K Views
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi...
5 Reactions
9 Replies
839 Views
Wakuu habari, Kuna uzi nilishawahi kuusoma humu ndani juu ya uwekezaji kwenye mifuko ya UTT. Kuna ndugu aliuliza ni kiasi gani anapaswa kuwekeza ili aweze kupata return ya Tshs 250,000 kila...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Tanzania imepanda Hadi nafasi ya 2 kama mzalishaji mkubwa wa Zao la Tumbaku Afrika ikitanguliwa na Zimbabwe. Hata hivyo Waziri Bashe amesema huenda Tanzania...
2 Reactions
4 Replies
788 Views
Kwa muda mrefu nimekua na kiu ya kupata uelewa sahihi wa tresuary bills na tresuary bonds zinazosimamiwa na BOT lakini nimekosa maelezo sahihi au sijui nisemeje. Natama kufahamu yafuatayo:- 1...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Hii ni habari njema sana. Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
"Nikiwa mzazi ninayetaka kuwekeza kwa ajili ya mustakabali bora wa mtoto wangu, ninavutiwa na fursa mbili za uwekezaji kwa watoto, yaani Watoto Fund - UTT AMIS na Junior Jumbo CRDB. Kwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza, nitumie nafasi hii kuwashukuru wadau wote tuliokuwa pamoja mwaka 2023 na hatimae tunaenda kuumaliza mwaka huu, Ombi letu kwa Muumba ni tuumalize salama, ki-ujumla ulikua mwaka poa...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike. Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla.
3 Reactions
3 Replies
699 Views
Wakuu habari, Katika namna ya kuendelea kujitafuta nimekutana na wazo la kufanya biashara ya vifaa vya umeme vya majumbani kama bulbus, wire, main switches, zile pipe za kupitishia nyaya na...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari Wana-JF nina mtu wangu wa karibu anahitaji kufungua Branch ya KFC Mkaoni Mbeya ila hajui ataanzia wapi, alisikia tetesi kuna kiasi cha fedha ukiwa nacho unaruhusiwa kufungua. Kile kiasi...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Biashara gani inaweza kuwa unaingiza 5000 kwasiku hata kama biashara ni mbaya?
1 Reactions
1 Replies
383 Views
Heri ya eid el fitr mialiko ni mingi sana ila kama hujapata mualiko endelea kutafuta pesa coz sikukuu sio siku tu sikukuu ni pesa ukiwa na pesa kila siku sherehe Wakati jana waislam...
1 Reactions
0 Replies
354 Views
Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
3 Reactions
8 Replies
741 Views
habarini Wana jf,pole na majukumu ya hapa na pale. Nimekuja kwenu nikiwa nahitaji msaada wa kifaa Cha NAZAVA WATER FILTER. KWA HAPAHAPA TANZANIA NIWAPI NAWEZA KUKIKIPATA??.NA NAMBA ZAO...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Habari wanajamvi, Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…