Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 228
- 551
Kwa muda mrefu nimekua na kiu ya kupata uelewa sahihi wa tresuary bills na tresuary bonds zinazosimamiwa na BOT lakini nimekosa maelezo sahihi au sijui nisemeje. Natama kufahamu yafuatayo:-
1. Tofauti ya tresuary bills na tresuary bonds
2. Kiasi cha chini cha uwekezaji kwenye kila kimoja
3. Namna ya kuzinunua/kuwekeza huko
4. Faida inapatikanaje (Mfano nimewekeza Mil.5) Mahesabu ya faida yakoje?
5. Je, nikitaka kuwekeza au kufahamu zaidi na niko mkoa ambapo hakuna ofisi za BOT nafanyaje? (Website maelezo hayajitosherezi ni kama yapo kwa ajili ya kutoa taarifa kwa wanaofahamu)
Natumai wapo wanye uzoefu waliofanya uwekezaji kwenye hizo bonds na bills, naomba ujuzi na uzoefu wenu kwasababu ki ukweli sina spirit ya biashara hizi za kawaida.