Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kunafursa kwa vijana na watu wote wenye malengo ya kujikwamua kiuchumi. Hii ni fursa ya kufanya biashara ambayo haihitaji upange ofisi au frame na pia mtaji wako mdogo tu tayari unaanza kufanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi sipingi uwepo wa VICCOBA kwasababu kwa mtu ambaye hana mtaji anaweza kujiunga na kusevu kidogo kidogo na baada ya mwaka akapata mtaji wakati wa kuvunja kiccoba. Ni njia nzuri ya kufikia...
6 Reactions
9 Replies
943 Views
Habari zenu wadau Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nitapata wap samaki aina ya Msusa wa kukausha, nipo Dodoma.
4 Reactions
13 Replies
1K Views
ALAF Limited (Tanzania), moja ya makampuni yanayoongoza katika kutoa suluhisho kwa ujenzi imekabidhi mabati yenye thamani ya Sh35 milioni kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)...
1 Reactions
0 Replies
467 Views
Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya) Just kabla sijaanza, ukitaka kuona...
64 Reactions
164 Replies
87K Views
Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu...
62 Reactions
4K Replies
1M Views
There is this common saying among most youths nowadays which is “money must be made” and that is why there engage in all types of illegal activities just to make money. Poverty and riches are just...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana jf Naomba kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta. Karibu.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Salaam Wakuu!! Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto. Mimi mkazi wa Mwanza...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
IPO KINYEREZI KIBAGA KWA WASHUA GHOROFA NI YA VYUMBA V4 SEBULE JIKO DINNING PUBLIC TOILET, STOO NJE IPO BOY COTER VYUMBA V2 NA CHOO BEI MIL 750 TITTLE DEED MKONONI ENEO SQM 1200 KARIBU...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nina maswali kadhaa kuhusu hii biashara. Je, ninahitaji vibali gani? Na vinapatikana katika ofisi zipi na pia itakuwa msaada sana kama itawezekana kuweka gharama zinazolipwa kwa kila...
3 Reactions
582 Replies
341K Views
Kuna shops unaingia unamkuta huyo muuzaji anaongea na simu muda woooote styms hadi mteja unakereka unaamua kusepa zako. Kuna wakati huwa najiuliza hivi hawa wanaofanya hivi ndio wamiliki wa hizi...
3 Reactions
6 Replies
801 Views
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli. Kuhusu Faida Biashara ya kweli ni biashara...
10 Reactions
20 Replies
6K Views
Mimi mwenzenu nataka kuchukua mkopo ili nifanye ujenzi sasa nilikuwa nauliza Bank ipi inatoa mikopo yenye riba nzuri.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mhe. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasiali na Utalii, Nkoba Mabula (kulia) akiongozana pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Ndugu: Ephraim Balozi Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi...
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Wadau habarini. Nipo Dar, nahitaji chimbo la uhakika kupata cardet kwa bei rahisi ya jumla chini ya 15,000 na chupi za kike, boksa, vesti na kadhalika. Kariakoo kubwa. Anayejua anijuze...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni kama inavyojieleza hapo juu, mimi ni mfanyabiasha wa mda mrefu natafuta partner wa kuanzisha kampuni ambayo tutaanzisha kutegemea na mtaji wetu tutakao kuwa nao, mwenye malengo ya kukua...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…