Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Natafuta wakala was vinywaji baridi hasa kampuni ya Mo.Nahitaji wakala aliyepo maeneo ya Kariakoo,Muhimbili ma maeneo ya jirani.Nipigie 0747464239
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Habari wakulungwa ninahitaji kujua bei ya mbaazi shambani na zikienda sokoni zinauzwaje??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wakuu wapi ntapata wakala mkuu sukari yakilo 50 ya kutoka nje Ile ..kwa dar es salaam au mwanza nani wakala mkuu
1 Reactions
1 Replies
341 Views
Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kujua kuhusu huo mkopo.kama heading inavyojieleza. Jf hamjawahi kuniangusha. Karibuni
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Habar wakuu nauliza kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani. Vipi kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
2 Reactions
1 Replies
418 Views
ikumbukwe tarehe 9/6/0223 trc ilipokea mabehewa 6 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na kamouni ya Lückemeier Transport & Logistik ya Ujerumani na wakati wa mapokezi msemaji wa seriakli wa kipindi ndugu...
2 Reactions
2 Replies
441 Views
Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone au Green Kyanite. Ikiwa wewe ni mwenye mawe haya na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze.
0 Reactions
1 Replies
474 Views
Habarini wakuu, Ikitokea mtu amekupa mtaji labda wa shilingi millioni arobaini za kitanzania. Akataka kila mwezi katika kila millioni moja uumpe faida ya shilingi elfu arobaini ina maana kwa...
3 Reactions
18 Replies
681 Views
Habari zenu wadau .Ningependa kufahamu kwa wale amabao bado wana fanya biashara ya kirikuu(carry) (nikimaanisha kumpa dereva alete hesabu) 1. kama hii biashara bado inalipa au ni mauza uza tu? 2...
4 Reactions
14 Replies
6K Views
WAZIRI MAVUNDE NA WAZIRI MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI -Hii ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro -Waziri...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM) Accademic qualifications Diploma in accounting and finance Computer applications Basic...
2 Reactions
2 Replies
473 Views
Habari za Weekend, naomba kufahamishwa kuhusu biashara hii ya Mafuta maana kusema kweli Mafuta ndiyo yanaendesha uchumi wa nchi. Najua JF ni kisima cha maarifa Hivyo nina maswali machache! 1)Je...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza...
3 Reactions
3 Replies
621 Views
Kiukweli fursa hii inamuhusu mtu yeyote aliye karibu na mjasiriamali haswaa mwenye uwezo wa kutumia simu[smartphone] au kompyuta [japo si lazima]. Kwa mjasiriamali mwenyewe soma barua yako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kufanya biashara ya mayai ila nataka kununu DARESALAM kuyaleta Zanzibar. Itakuwa nauza jumla na reja reja Na ombeni ushauri wema? Je, niaze na mtaji wa kias gani? Na je vitu itapata faida...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Weakest Currencies In the World. 1. Lebanese Pound/Lira (1 USD = 89,524.90 LBP) 2. Iranian Rial (1 USD = 42,225 IRR) 3. Vietnamese Dong (1 USD = 25,380 VND) 4. Laotian Kip (1 USD = 21,451 LAK)...
2 Reactions
4 Replies
626 Views
ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa...
6 Reactions
25 Replies
7K Views
Ukiona Mfanyabiashara hana bluetick ogopa sana huyo ni tapeli hata ukinunua mali kwake ukikuta mbovu jua ndio bye bye. Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na...
14 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom