Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini wakuu,naomba ufafanuzi juu hizi terms kwenye bond results za BOT🙏;NB;cc attachment below for refference 1. Weighted average yield-to-maturity 2. Weighted average coupon yield 3...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Habarini wakuu. Nina hati ya kiwanja, ninashida ya mkopo kama mil 2-3. Wapi naweza pata mkopo kutumia hati nimejaribu benki kama 2 hivi nimekosa.
1 Reactions
27 Replies
12K Views
Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba...
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Wakuu habari Kwa wale mnaofanya biashara zenu wenyewe ambao hamtegemei mshahara kutoka kwenye ajira za Serikali au private company.. Haya naomba mtuambie hapa, wewe na hiyo biashara yako...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023: 1. China - GDP: $14.72 trillion 2. Japan - GDP: $5.11 trillion 3. India...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi.. Kila siku watu wanawaza how to make money through doing businesses or establishing commercial projects. Kuna watu wana mitaji ila wana hofu wajilipue vipi, wanaogopa risks hasa...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni...
1 Reactions
7 Replies
531 Views
Habari wanajukwaa nilikuwa nataka kuuliza kuwekaza utt ni mfuko gani ambao hauna risk yeyote kabisa mm ndio nataka nianze hela kiasi 7M
1 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa mwaka 2024 ,Soko la Hisa la Dar lina jumla ya makampuni 25...kutoka 27 kampuni 1 lilifirisika na kuondolewa sokoni....YETU MICROFINANCE Kampuni moja limenunuliwa na kampuni lenzake......TWIGA...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za kwenu wakuu? husika na kichwa cha chapisho hapo juu...Ni kwamba nahitaji body spray au perfume yenye sifa zifuatazo;- 1.Manukato ya chocolate 2.Bei ya kawaida (Affordable Price) 3.Iwe...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
TCB YASAINI MOU YA MIKOPO NA ZEEA KWA AJILIYA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) na Wakala wa serikali wa...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Natafuta wanapouza Asas na Kilimanjaro prosucts hasa yoghurt, Nahitaji kwa bei ya jumla.
1 Reactions
1 Replies
729 Views
Habarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari Wana JF naomba wenye ujuzi wa biashara mnifahamishe kuhusu hili: Nataka kufungua duka la dawa za mifugo yaani veterinary drugs, ninahitaji vitu gani na gharama zake zikoje ukiacha mtaji wa...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari wakuu Mimi nina kampuni japokua bado ni changa ofisi ipo Africana, nahitaji watu wa marketing sio wa kuwaajiri ila tunawaeza kuarange terms tukalipana kwa kazi. Kampuni ina husika na...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA Kampuni ya Tembo Nickel ambayo...
1 Reactions
1 Replies
700 Views
Wapendwa Katika bwana, Natamani Sana kujiona nikipiga hatua, Naombeni fursa/ Mchongo wowote ambao naweza kupiga 20k hadi 30k kwa siku.....hapa Dar es salaam Mimi ni binti.
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Wadau naomba ushauri, nimedunduliza kama 50 Million Tsh, nataka niwekeze sehemu nipate vijisent kabla yakuingia kwenye biashara. Je, wapi sasa ni pazuri kuwekeza na kwanini? eg Fixed...
4 Reactions
58 Replies
17K Views
Hiyo ni kauli ya Bimkubwa wakati akiwa kwenye uzinduzi wa SGR njia ya Dar kwenda Dodoma mapema leo. Amesema ana taarifa kwamba mzee Abood alishapunguza baadhi ya mabasi kwa njia hiyo ila serikali...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimeona tangazo lake mtandaoni na nikaipenda ghafla. Mwenye kufahamu duka naweza pata huu mtambo nipe msaada. Mtambo unaitwa VR Box
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom