Noti mpya ya elfu 10 na ya zamani ya elfu 2. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti mpya ya elfu 10 na ya zamani ya elfu 2.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHESEA INGINE, Feb 20, 2011.

 1. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wana jf, nimeona hizi noti mpya za elfu kumi zina usawa wa ukubwa sawa na noti ya elfu mbili ya zamani! Tahadhari kwa wale wanaotumia money counting machines! Zikichanganywa na za kumi zinahesabiwa kama kawaida. Kuweko na umakini mkubwa unapotumia hizi machine kuhesabia noti za kumi kumi. Sijui hii ni habari mpya au? Nawasilisha.
   
Loading...