Ukienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na...
Hakuna shule hakuna chuo utafundishwa kuhusu dark side of anything,Kuna njia mbili tu za kujua wasichokijua watu wengi,njia nyepesi zaidi ni kujua kupitia shuhuda za watu waliopita kwenye kivuli...
Naomba mdau yeyote mwenye uwelewa anisaidie niweze kuelewa huu mfumo wa zabuni ukoje na vigezo gani mtu anapaswa kuwa navyo kabla hajaanza kuomba hizi zabuni na faida mtu anaweza kupata kupitia...
Are you an NGO struggling to identify the right foundations and build relationships with potential funding partners?
Stop relying only on grant calls.
Build relationships. Identify potential...
Habari za muda Huu wadau, Mwenye uzoefu au anayefanya biashara ya Dry cleaner anijuze.
Changamoto za biashara iyo
Faida za biashara
Soko linapatikana vipi (wateja)
nakadhalika...
Asante..
Hivi ni kwanini watu waliosomea uchumi, tena ngazi za juu, huwa wanatoa milio na malalamiko kuhusu ugumu wa biashara... sometimes wanalialia ktk namna ambayo vilio hivyo walipaswa wakina sisi...
hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji:
ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha
kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
Habarini Waungwana!
Leo nimeona nitoe mchongo wa biashara ambayo binafsi nimewahifanya kabla sijapata ajira na natarajia kuendelea kufanya baada ya ajira kuisha.
Uzuri wa biashara hii, pamoja na...
Katika pita-pita zangu nimekutana na vijana wanaouza mishikaki kwa kutumia vitoroli vyenye matairi mawili na jiko la mkaa kwa juu, hapo hapo juu kwa pembeni wanaweka mishikaki iliyochomwa tayari...
Wasalam wana Jamvi.
Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
Uwekezaji mkubwa wa kampuni ya China kwenye sekta ya madini Tanzania 👇
Kampuni ya Shenghe Resources kutoka China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini ya mchanga mzito wa...
Kuna kampuni iliamua kutengeneza simu ambayo haifanani na simu nyingine yoyote… na watu wakaanza kuiita “simu ya ajabu.”
Hii ndiyo Nothing Phone.
Wakati Samsung na iPhone wanapambana kutengeneza...
1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k
_ Ndege wengine wenye faida kama...
Nina Guest House iliyopo maeneo ya Manzese, kwenye barabara ya kuelekea Tandale. Guest House ipo moja kwa moja barabarani, na ninatafuta mtu wa kuingia naye ubia ili tuweze kuiboresha na kuipanua...
Ukiweka Shilingi Milioni 10 benki leo, unaamini kuwa pesa hizo ziko ndani ya chumba cha siri cha benki zikikusubiri wewe ukazichukue siku yoyote, sivyo?
Ukweli ni kwamba: Pesa hizo hazipo hapo...
Habari ndugu zangu!!
Mwaka 2011 nilifungua akaunti ya majina ya biashara katika bank X ambapo wakati wa kufungua akaunti hiyo walinihitaji documents za usajili wa Brela ,Tin na leseni ya biashara...
Natengeneza id card za plastic kwa ajili ya matumizi mbali mbali
1. Id card
2. Visitors card
3. Coupon
4. Business canrd
5. Wedding card
Karibuni tupo kariakoo 0717470234
Mikoani tunatuma kwa...