Huyu Prime Minister wa Ethiopia sio poa aisee. Leo nilikuwa naangalia hii video inaonesha jinsi Addis Ababa inavyokua kwa kasi in just short time
Watu wanahamishwa uswazi wanapelekwa kwenye...
Watu wengi wanaota kuwa na biashara yao wenyewe, lakini mara nyingi wanaahirisha kwa sababu wanaamini wanahitaji mtaji mkubwa sana ili kuanza.
Mama Catherine naye alianza akiwa mama wa nyumbani...
Naombeni ushauri kwa wawekezaji kwenye hii sekta mikataba kwa siku dereva analeta kiasi gani kwa boss kwa gari ambayo ni mpya ,mikataba inaenda kwa miaka mingapi maintainance nzima za magari na...
Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria.
Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara...
Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo...
Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine...
Habari za wakati huu wadau,
Tangu enzi na enzi, binadamu amekuwa akitafuta njia mbalimbali za kuboresha maisha yake. Katika jitihada hizo, tumeweza kubuni bidhaa na huduma mbalimbali kama njia ya...
Sehemu flani hivi chaka kimtindo,
Kando ya kimfareji flani ambacho hakikauki mwaka mzima,
Naenda kupiga kambi nitaishi hapo hapo
Nitalima tu mboga mboga twa fasta kama mchicha na spinachi mixer...
Habari Wana JF.
Mimi nikijana wa miaka 23 nilipambana kutafta mtaji na Sasa nimepata million nne
My plan nikufungua car wash ndogo.
Mkoa niliopo nimefanya uchunguzi wa pressure washer machine...
Mkataba wa Ujenzi wa Meli Tatu za Bahari Kuu: Tanzania Yafungua Mlango Mpya wa Uchumi wa Buluu na Ajira kwa Vijana
Na GULATONE MASIGA
Bahari ya Tanzania ni rasilimali kubwa ya kiuchumi ambayo...
CHAKULA CHAKO • FORMULA YAKO • BRAND YAKO • SISI TUNACHANGANYA NA KUPELLETIZE.
FRANA7WAYS FEEDS inakupa huduma ya kuchanganya na kutengeneza pellets (Punje) kwa kutumia malighafi na formula yako...
Wakuu kwema,
Ukirejea kichwa cha uzi kama kinavyosomeka... nahitaji tarifa kamili za wasambazaji wa bei zajumla wa hizo bidhaa hapo. Napataje namba zao..
Kama ni muuzajinwa jumla naomba uje...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuongea jambo… na kufanya watu wakusikilize.
Unaweza kuwa na biashara nzuri.
Unaweza kuwa na bidhaa bora.
Lakini kama ujumbe wako haujawafikia watu kwa sauti...
Huenda tatizo si vifaa vya gym yako. Huenda tatizo ni kwamba bado hujaielewa vizuri biashara unayoifanya.
Watu wengi wanapofikiria kuanzisha gym, mawazo yao huenda moja kwa moja kwenye kununua...
Katika biashara ya kuuza bando, baada ya laini za Corp na Super Corp zilizokuwa tegemeo la wauza bando kuzuiwa mwezi May, laini za Faith zimekuwa kama tegemeo lililobaki kwa baadhi ya wauzaji kwa...
Wakuu,
Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja,
Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini...
kwa wenye uhitaji wa housegirls, shambaboys,wenye utiifu na uwajibikajikuanzia miaka 18 nakuendelea , contact us delivery ni Tanzania yote kwa uaminifu mkubwa!!
Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia...
NYUMBA ya KUBOMOA
🔥INAUZWA🔥
Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo
Inatazama
OLD BAGAMOYO
Ipo MAIN ROAD
Umiliki L/MAKAZI
ENEO. (SQM 732)
Price Mill 700 maongezi
🇹🇿Call/WhatsApp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.