Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau wenzangu hapa JF kina Babalao na wengineo naomba mnisaidie ili niweze kuanzisha Microfinance yangu Dsm ninatakiwa niwe na nini, na utaratibu gani nifuate. WADAU WANAOHITAJI UFAHAMU WA...
0 Reactions
287 Replies
144K Views
Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
0 Reactions
8 Replies
881 Views
ᴅᴀꜱ ᴍᴏʙɪʟᴇ ᴇꜱꜱᴇɴᴛɪᴀʟs ᴍᴀᴢᴏᴇᴢɪ ꜱᴏꜰᴛ 📞0622962627 ɪᴘʜᴏɴᴇ ʙʀᴀɴᴅ —-ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ ᴘʀɪᴄᴇ 450,000/=✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ 400,000 ɴᴏ ꜰᴀᴄᴇ 💔✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴅᴍ ʙʜ 100ᴘʀɪᴄᴇ...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola. Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375 Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kwenye Jamii yetu watu wengi ni watumwa wa pesa yaani unakuta mtu anafanya kazi kwa bidii sana hadi anakosa muda wa kukaa na familia yake yote sababu ya pesa. Sisemi ya kwamba...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Wakuu naomba mwenye uzoefu wa kusafirisha mizigo kutoka Nigeria anisaidie kampuni inayosafirisha na gharama ni kiasi gani Kwa normal goods. Natanguliza shukurani 🙏
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Huu mchongo ni kwayule kijana ambaye amepinda na maisha ya mtaani. Kuna michongo mingi ya kufanya ili "kusogeza siku" huku ukisubiri inshu ya maana. Huu ni mmoja wapo. KUGONGA KOKOTO...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna...
2 Reactions
4 Replies
488 Views
Hizi ndiyo kampuni 5 bora (zilizo orodheshwa katika Soko la hisa DSE) zilizo fanya vizuri kwa mwaka 2022... 5.TCC - Tanzania cigarette company Iliweza kujipatia faida ya tsh.billion 69,ambazo...
7 Reactions
36 Replies
6K Views
Wakuu habari, Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe. Mfano, nimeona kuna app ya ebay na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu habari, Naomba mwenye kujua maeneo ya nchi yetu ya Tanzania yenye watu wengi ambayo unaweza kufanya kazi ya UWAKALA wa benki na MITANDAO ya simu kwa mchana na biashara kama chips bila...
0 Reactions
6 Replies
798 Views
Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara. Sijajua...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba kujua ni mfuko upi naweza kutumia kukuzia mtaji ambazo kianzio chake ni kidogo zaidi?
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako. Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu ingawa sa100 yupo radhi hata kupiga wananchi wake ili apige minada mbuga zetu Kwa mwarabu Ila mimi nimefikiri kitu tofauti kidogo. Katika harakati zangu hapa chini ya jua kuhusu animation...
0 Reactions
15 Replies
893 Views
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya. Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
INTRODUCTION:- Mpo raia wotee hasa chama langu la KATAA NDOA?? Mmejiandaaje na 23/09 THE REVOLUTION DAY?? BODY:- Anyway; turudi kwenye mada. Ukitoa hizi harakati za ""KATAA NDOA"" mimi bana ni...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom