Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari. Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
MOLD ZA MIKANDA YA GYPSUM Tangazo: Unatafuta vifaa bora vya kutengenezea mikanda ya Gypsum? Chagua bora, chagua Kirame Group! Tunapatikana kwa huduma zote zinazohusiana na gypsum, pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habar wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2 Naombeni ushauri, na mapendekezo please!!! Asanteni sana...
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Biashara ya mbao nahitaji mtaji kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Nimefikiria kuanzisha biashara ya kuchomelea (welding) mageti, milango, madirisha na mambo mengine. Naomba kujua baadhi ya mambo. Kwanza jinsi au wapi kwa kupata mashine na vifaa vingine vya hiyo...
2 Reactions
16 Replies
12K Views
Bila shaka mko vizuri, Nahitaji kujuzwa juu ya leseni ya kununulia madini, je gharama yake ni shilingi ngapi na niaina gani ya madini?
0 Reactions
61 Replies
22K Views
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka 2024 mwezi wa nane. Nimesoma mambo ya uhandisi wa mashine zote za Hospital, Kwasasa naishi maeneo ya Nyegezi Mwanza mtaa wa Nyamazobe. Nina kiasi cha Tshs...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Bihashara ya mtandaoni imekuwa kubwa sana lakini sio watanzania wengi wanajali kuhusu hilo shida ni nini hasa?
2 Reactions
2 Replies
294 Views
Eneo linauzwa lipo Goba njia nne barabara ya kuelekea Madale lina faa sana kwa ajili ya kujenga sheli ya mafuta au Kujenga maduka makubwa. Eneo lina ukubwa wa sqm 4800 na ndani ya eneo kuna...
2 Reactions
6 Replies
685 Views
Wadau, nimeanzisha shamba la nanasi heka 5, three years ago, maeneo ya Misigi( 17 Km from Chalinze). Sasa lina maximum production. Changamoto yangu ni soko. Nahitaji masoko ya Arusha, Moshi...
3 Reactions
12 Replies
983 Views
anahitajika exporter coffee
0 Reactions
1 Replies
319 Views
Today's 2nd withdrawal 🔥 MPYA KABISA! FURSA YA KIPEKEE YA KUWEKEZA! 🔥 Kuna platform mpya na ya kibunifu inayokupa nafasi ya kuwekeza na kufaidika! 🚀 Hii ndo nafasi yako ya kuanza mapema na...
2 Reactions
5 Replies
764 Views
Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop. Je wewe unakunywa maji gani?
10 Reactions
97 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake. Kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza diesel iliyothibithswa na yenye Vibali vya EWURA, nauza Lita 2600 tshs Sharti: Ili tufanye biashara lazima uwe unanunua kuanzia kuanzia Lita elfu 50 kuendelea Eneo: Dar-Es-Salaam...
3 Reactions
3 Replies
705 Views
Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola. 1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Mchele super kabisa Bei:2800 Location: chamazi jirani na uwanja wa azam complex 0682528220 Delivery ipo
2 Reactions
0 Replies
338 Views
Providing strategic solutions to projects in the following areas: 1) Education (primary, secondary and intermediate colleges providing various certificates) 2) Community based programs or...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Back
Top Bottom