Salam wakuu.kama heading inavosomeka hapo.
Mwaka jana nilileta uzi wangu kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe na nikaweka na no zangu.
Basi kuna siku nikawa nimetulia tu mara kuna memba...
Salaam kwenu wakuu.
Naombeni wazoefu wa biashara za nguo mnipe mbinu za kudhibiti wateja wezi.
Anakuja kama mteja anaangalia nguo na hata kujaribu na mwisho anaondoka. Ukija kuangalia baadhi ya...
Dar es Salaam
Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam
Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila...
Habarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta...
Kama kichwa kinavyojieleza, karibuni nategemea kuwa Dar es Salaam. Kwa sasa nipo mkoani na ninafikiria kufungua workshop ya kutengeneza signage boards kwa kutumia material za acrylic.
Nina uelewa...
Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja.
Mfano
Bidhaa A ina faida mara 3
Bei ya mtaani rejareja 30,000
Bei ya chimboni ni 10,000
Bei ya bidhaa B faida ni...
Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku...
Wakuu habari zenu?
Leo nimekuja kujadili kwa undani biashara ya malori
Ni wazi kwamba siku hizi sasa sie wakazi tunaotumia barabara ya morogoro road tutakuwa tumeshuhudia malori mengi yakitumia...
Hii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku na hiyo pesa unalipata kkwa mbinde na siku nyingine utaletewa mpaka elfu 50.
Aisee huyu mtu anaakili...
Hi all,
Hii itakuwa ni mara yetu ya tatu mfululizo kufanya mkutano/kikao hiki pale Lunch Time Hotel, iliyopo along Mandela Road opposite na Mabibo Hostel.
Tunaita Chai day kwa sababu huwa...
Wa JF, habari ya wakati huu, mimi nimevutiwa sana na hii biashara ya kukopesha pesa ndogondogo mtaani, naomba mwenye ufahamu wa namna ya kupata vibali vy kukopesha anifahamishe ili nianze...
Afisa Tafiti na Uchambuzi wa Sera wa Taasisi ya WAJIBU ameonya kuwa uwekezaji usio na tija wa Tsh. Bilioni 41.56 kwenye masoko sita ya Temeke na Dodoma unahatarisha mafanikio ya DIRA 2050. Masoko...
Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi?
Kufungua pharmacy au duka la hardware au kununua kiwanja? Kipi bora?
Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara?
Wholesale Used Cooking Oil Germany: A B2B Guide to Sourcing UCO from a Reliable Supplier
Germany is one of the most active markets in Europe for waste-based fuels, and used cooking oil (UCO) sits...
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ .
Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu.
1. Vipi risk ya hii biashara?
2. Vipi wateja...
Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026.
Sasa tatizo lililopo ni kwamba...
Habari wakuu,
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.
Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei...