Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Looking for Website Design in Tanzania? At PixelLinx, we specialize in creating modern, high-performance websites tailored to businesses of all sizes. Whether you need a corporate website, an...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Habari za leo wakuu. Wanyalukolo nimewafikia na wote mkaao nyanda za juu kusini. Wengi mnafahamu kuhusu kinywaji cha ulanzi. Kinywaji hiki huzalishwa kutoka katika aina ya mmea wa ulanzi ambao...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kichwa cha somo cha husika, chuma hakina kipengele chochote. Km 82, No. E. Non turbo. For serious buyer aje DM. Price 18.5 (Fixed)
2 Reactions
6 Replies
647 Views
Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi...
3 Reactions
11 Replies
792 Views
Habari wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu. Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi...
77 Reactions
607 Replies
70K Views
Nikiwa kama wakala wa E-money (Miamala ya pesa) nimeshuhudia mambo mengi sana ambayo nafikiri kwa kuyasimulia naweza nikawasaidia watu wengi sana especially mawakala wa hizi Mpesa,Tigopesa...
83 Reactions
87 Replies
46K Views
Natafuta kiwanja, kiwe medium or low density area. Niko Moshi. Kisiwe 20x20, kianzie 30 x40 au 40×40. Asante, PM.me kama una connection
3 Reactions
2 Replies
335 Views
Najua unatamani sana kuanza biashara. Unaiota, unazungumzia kuhusu hiyo, unakatiza kupitia hadithi za mafanikio mtandaoni ukifikiria, Hii inaweza kuwa mimi. Lakini unapokuja kuchagua wazo...
1 Reactions
2 Replies
740 Views
Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara. Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere. Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani...
49 Reactions
431 Replies
79K Views
Kwa pamoja, sasa tuanze kujifunza hatua moja hadi nyingine. Njia 8 za Kugundua Wazo Lako Kubwa 1. Tambua Uwezo Wako na Mambo Unayoyapenda Moja ya njia bora za kugundua wazo lako la biashara ni...
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Wadau nahitaji kuchukua wapi naweza kupata nguo za watoto umri 0 mpka 3 special huko kariakoo bei iwe simple maana kuna sehemu nataka niuze
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo. Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa. …..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja...
1 Reactions
10 Replies
934 Views
Kuna biashara ya mtandao wa kidunia ipo hewani ambapo unaelekeza watu wanunue software online na unalipwa kwa miongo 7 kwenda chini kwenye mtandao wako na malipo mengine ni miongo yote kwenda...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nafikiri wengi wetu mmewahi kusikia na hata kutembelea viwanda vya kutengeneza soda za Coca Cola kama kile cha Coca Cola Kwanza pale Mikocheni, DSM, Bonite Bottlers pale Shiri Matunda, Moshi...
22 Reactions
55 Replies
4K Views
Naomba kuuliza kati ya Morogoro Mjini na Ifakara wapi kuna fursa nyingi za biashara.?
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Habari wanajukwaa wenzangu najua mko poa, kama kichwa cha tangazo kinavojieleza nauza kabati langu la mninga lina mwaka mmoja tu toka nilinunue na nilinunua bei kubwa sana nadhani wengi mnafahamu...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo...
1 Reactions
1 Replies
522 Views
All Non-governmental Organizations were registered under Non-governmental Act, 2002 are required to prepare and submit their Annual activities and financial reports to the office of the Registrar...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum. Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula)...
0 Reactions
7 Replies
480 Views
Back
Top Bottom