Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash kama hio hapo chini...
Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake.
Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya
ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake...
Mi nataka kweny tasnia ya maafisa usafirishaji lkn nna changamoto kadhaa hivyo ningependa kupata USHAURI kutoka kwenu
Kwanza kabisa mi ninajua kuendesha pikipiki lakini sina leseni. Sasa kuna...
Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.
Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta...
Elon Musk said on Friday that his startup xAI has merged with X, his social network, in an all-stock transaction that values the artificial intelligence company at $80 billion and the social media...
Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo.
Tunaangazia maeneo 10 ambayo...
Habari za muda na wakati huu.
Npo hapa kutafuta mdhamini/Wadhamini (Sponsor(s)) wa Safari ya Kupanda mlima Kilimanjaro.
Atakayekuwa tayari kwa udhamini huo. Ntaitangaza Brand au Biashara ya kwa...
Ethan alikuwa na ndoto ya kuwa bosi wake mwenyewe. Baada ya miaka mingi kufanya kazi ya 9 hadi 5, hatimaye aliamua kuanzisha kampuni yake ya usanifu wa michoro. Mwanzoni, ilikuwa ya...
Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe.
Kuhusu vigezo
Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis...
Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?
Tuangalie the power of Patnership Katika online...
Biashara ipi ni nzuri na rahisi kuisimamia kati ya hizi. Bajaji ya abiria, cash point (uwakala), tofari za block, au stationary.
Mazingira ya biashara ni mwanza.
Habari,
Karibu CITIZEN CARGO LTD
Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka CHINA kuja TANZANIA Kwa Ndege (Express Air Cargo)
Gharama zetu ni nafuu kama ifwatavyo;
1. From 1Kg - 10Kg: 12$/Kg...
Nikope milion 6 nichuke bajaj used au nikope milion 10 nichukue bajaj mpya ila kabla sijaenda kuchukua mkopo.
Nlikuwa naomba ushauri wenu nichukue bajaji used au mpya kupitia mkopo bank?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.