Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu nimevunja baahati mbaya tiv yangu naomba msaada nakoweza pata kioo na bei yake plse niko Arusha
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au...
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Freelancing: Where to Start, Pros and Cons, and How to Sign Up Ah, freelancing! It's the dream for many of us looking to work from home, be our own boss, and earn money flexibly. And guess what...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ee kwema wadau?__ni yule yule kijicho kwenye sket a.k.a mzinzi mjanja asiyekamatika, kutoka Dodoma Ndugu zangu me nauza duka kama miaka 6 sasa mafanikio nimepata mengi tu ila hii biashara...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi". Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying...
21 Reactions
153 Replies
8K Views
Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya...
9 Reactions
54 Replies
18K Views
Habarini wandugu! Nataka kuanza biashara ya uwakala wa mitandao ya simu yaani Tigo Pesa, M_Pesa, Halopesa nk. Nahitaji muongozo wa vigezo vya kuwa wakala na mapato yapoje? Nawasilisha
2 Reactions
40 Replies
37K Views
2 bedrooms, sebule, jiko each unit (JENGP LINA UNITS 2) Plot size ya 600SQM zinaingia units 5. CALL US TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM +255624004650
4 Reactions
6 Replies
592 Views
Habari zenu wadau wa Uchumi na Biashara. Nina wazo la kutaka kuwekeza Fedha kwenye Financial Entities. Je Kuna ukweli kuwa zipo Bank zenye interest kubwa kidogo kuliko UTT? Naomba ushauri na...
0 Reactions
2 Replies
330 Views
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia. Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida. Kivipi inampa faida.. Forex...
30 Reactions
258 Replies
12K Views
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT?? Naomba mawazo yenu, maana...
2 Reactions
2 Replies
364 Views
WE DO BEST DESIGN CALL US TO GET YOURS CALL US +255624004650
0 Reactions
3 Replies
360 Views
WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION
2 Reactions
13 Replies
869 Views
Ifuatayo ni Orodha ya masoko ya Mitaji/Financial markets ambapo unaweza ukafanya uwekezaji 1. HATI FUNGANI Ni soko ambapo muwekezaji anakopesha fedha kwa kipindi cha mda flani huku akipatiwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu.. Watu wanaweza. Wakupe mchango wa Harusi Birthday party Rambi Rambi Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio...
5 Reactions
7 Replies
393 Views
Habari, mimi ni kijana ninaye jihusisha na kuunda software mbalimbali ikiwemo za simu(mobile apps) na webstite. Katika kazi zangu zilizopita, nilipata fursa ya kufanya kazi katika kampuni ya...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Je, kuna mtanzania anaingiza kipato kutokana na Teknolojia hii ya artificial? Naomba kama wapo basi tupeane maarifa hapa, iwe artificial intelligence jumlisha na social media basi tupeane maarifa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hali inatisha sana soon tutafika 3000. Ila tutumba anasema uchumi unaimariks aha ha ah ha ha
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…