Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja.
Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
Watu wengi huamini kuwa wakishahitimu chuo kikuu na kupata degree au Diploma, basi mafanikio yanakuja moja kwa moja kama mvua.
Ukweli ni kwamba — Elimu ya darasani peke yake haitoshi. Kama hujui...
Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina...
Ukituma pesa kwa mteja/kuweka pesa. mteja akitoa pesa .
Malipo kutoka mtandao husika kwa wakala yanakuaje kwa mweźi au ni papo hapo kwa kila muamala? .
mwenye kuelewa msaada tafadhali.
Salaam kwa wanajamvi wote!
Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii.
1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo
2) Kukuandalia Pendekezo la...
Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa.
Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao?
Kwenye Thread hii nimekuorodheshea...
Tangu Rais wa Marekani, Donald Trump, alipotangaza viwango vipya vya ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo, kumekuwa na hofu kutoka kwa mataifa mbalimbali duniani ya jinsi yatakavyoathirika...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.. Nichukue nafasi hii kuwataka radhi wale ambao watachukizwa na uzi huu lengo langu ni kupata ushauri juu ya wazo langu la biashara.
Nianze kama ifuatavyo:
Mimi...
MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA
Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya...
Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni matumaini yangu kuwa mko wazima bukheri.
Kama kichwa cha mada hapo juu, naomba kuuliza kuhusu uwekezaji kwenye Hati fungani na UTT Amis.
Swali langu ni...
Naitwa Mwakawasila Ni mtaalamu na mkufunzi mbobevu kwenye masuala ya Fedha
Hadi saizi ni zaidi ya watu 50 tiyari wanawekeza kwenye HISA, HATIFUNGANI na UTTAMIS,
Lakini wengi zaidi kwenye HISA...
Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema...
Habarini wana JF nina wazo la kuwa wakala mkuu wa kusajili line na kumiliki vijana kadhaa wakusajili.
Je, utaratibu upoje na jinsi ya malipo inakuwaje?
Habari wanaJF,
NIPO kwenye basi la Laviha inayotoka Dar kuelekea Ifakara. Tupo mkambarani tunakaribia Moro.
Sasa ameingia jamaa mmoja hivi na dawa ya meno ya Vigo Doctor. Akajitambulisha...
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo.
Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza...
WanaJF habari za leo,
Ni saa 2:11 kamili hapa Morogoro niliko. Sasa leo hali ya hewa imeamua kuja kiaina: ukungu wa kutosha, kabaridi kwa mbali. Na bado nkaondoka nyumbani saa 11 kujiandaa kwa...