Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mjadala wa raia wa kigeni hususani Wachina kufurika katika maeneo ya kibiashara hasa jijini Dar es Salaam, umechukua sura mpya, baada ya Serikali kuanza kuchukua hatua za kuwafuatilia kama...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mifumo ya Zamani ya Mashimo Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa...
1 Reactions
5 Replies
540 Views
👉🏾👉🏾BEACH PLOT ⛱️ FOR SALE 👉🏾A Bigger and Wonderful Beach Plot for sale at Kizimkazi Beach Zanzibar.* 👉🏾Nice sea view and Beach. 👉🏾The Home of the Dolphins in Zanzibar. Sun 🌞🌞 Set Beach...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Leo nimeamua kuanzisha thread itakayodumu nyakati zote na majira yote . Pia uzi huu unamgusa Kila mmoja wetu. Tunalo tatizo la umasikini katika jamii yetu. Unazaliwa masikini, unakua kimasikini...
24 Reactions
101 Replies
12K Views
Watu wengi wanaposajili Kampuni hua Wana stack kutafuta leseni sababu wanakua hawajui ni leseni gani hasa wanatakiwa kua nayo. Kwenye Thread hii nimekuandikia list ya Industries ambazo zinatakiwa...
3 Reactions
12 Replies
807 Views
Watu wengi hudhani kwamba ukishapewa Certificate of Incorporation basi Kampuni yako imekamilika. Vipi kama nikikwambia pamoja na kua na hio certificate of Incorporation Bado unakua huruhusiwi...
6 Reactions
12 Replies
897 Views
JamiiForums, Tunasema Tanzania uchumi umekua na unaongezeka Kwa Kasi, Tunatumia vigezo gani kuproval icho kitu ingawajee huku watu wake walia Maisha magumu.? Kila kukicha Pia soma Vigezo...
1 Reactions
7 Replies
435 Views
Kutona na vita ya kiuchumi kati ya U.S.A na CHINA, tunaendelea kufahamu vingi katika ulimwengu wa manufacturing.
0 Reactions
4 Replies
367 Views
Habari, Kwa wazoefu wa Wanao safirisha Nyama Nje ya Nchi, Nimepata soko tayari na nataka kusafirisha Nyama ya mbuzi nje, Kuna mifuko ya package, nime attached ktk post naomba kujua naipata wapi...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Unakutana na mteja, mnamaliza maongezi vizuri kabisa, lakini mwisho wa siku anakwambia: ✍️Nitarudi baadaye ✍️Naitaji kufikiria kwanza ✍️Ngoja niongee na mwenza wangu Yaani, anapotea hewani bila...
1 Reactions
5 Replies
591 Views
Nahitaji Unga wa Uwanga (arrow roots powder) Habari zenu, naomba mtu anayejua sehem naweza kupata Unga wa Uwanga(arrow root powder), nahitaji mwingi hata kama tone 5 unazo au unajua zilizo...
1 Reactions
4 Replies
903 Views
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
5 Reactions
12 Replies
954 Views
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa...
3 Reactions
61 Replies
12K Views
Khabari wakuu! Nipo Kahama mjini natafuta site iliyochangamka Nataka nifungue duka la viatu. Yeyote mwenyeji wa Kahama anaefahamu site nzuri naomba anisaidie ili niweze kupata. Nawasilisha wakuu
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimeagiza bidhaa fulani toka China kwa kutumia app ya aliexpress wenye trak number inayoanzia na LP 000 kwenye trak mzigo unaonekana umeingia toka tarehe 7/04/2025 nikaamua kuwafuata kwenye ofisi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya Bajeti ya serikali kupitishwa na kuanza kufanya kazi mwezi Julai, kuna fedha serikali itajipatia kwa njia ya mikopo. Kuna sehemu itakopa kutoka mashirika ya nje na nchi wahisani lakini...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Karibuni wakuu....
3 Reactions
14 Replies
847 Views
Nitajie vitu ambavyo unaweza kuviuza kwa kutembeza na havipatikani ovyo ovyo mitaani ambavyo ni adimu kwa mfano labda asali.
6 Reactions
11 Replies
826 Views
1. Smartphones na mobile ndogondogo nzuri zenye mvuto mfano nokia Og au vile vidogo kbs.pia kuna protector na cover za simu 2. Flashes na memory card..sio nzito hivyo zinabebeka kiurahisi...
3 Reactions
17 Replies
662 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…