Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa! Poleni na hongera kwa harakati za maisha. Kuna jambo ningependa sana kulileta ili tutazame namna ya kupeana ushauri kuhusu biashara. Hivi karibuni kumekuwa na watu wengi...
0 Reactions
3 Replies
472 Views
Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa. Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi. Kuna tenda mezani. Zinahitajika: Pumba za Mahindi (Tani 74) Mashudu ya Alizeti (Tani 22) Hii ni tenda endelevu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Natafuta watu mbalimbali wa kufanya nao bishara wa dagaa nyama .mimi nipo kilwa nazalisha dagaa nyama nimeanza mda kidogo lakini sina wateja wa kutosha natamani nipate mtu kwa baadhi ya sehemu...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Airtel money sina kitu Mix by yass sina kitu Vodacom sina kitu Crdb bank sina kitu Nmb sina kitu Ndani Nina buku tatu kama akiba ntatoboa kweli? Kama Kuna mtu amewai kupitia. Hali hii anipe muongozo
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni Zanzibar natokea Dar es salaam nimekuja kikazi kwa iyo anayejua FURSA mbali mbali tunaweza juzana.
2 Reactions
2 Replies
325 Views
Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako. App hizi zinaweza kukuokolea muda, kukuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila...
7 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanazengo, Kutokana na gharama kubwa za undeshaji wa pharmacy inatakiwa niuze kwa wingi ili ni cover costs zake na maisha yangu pia. Je, investment ya pharmacy ya reja reja eneo lenye...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa...
35 Reactions
168 Replies
14K Views
Wakuu, habari ya majuku. Leo nipo na wazo hapa nataka kushea na kusikia kutoka kwenu wakuu. Kulingana na changamoto nyingi zilizopo kwenye familia (ndoa) za watu leo, ikitokea mtu akaanzisha...
1 Reactions
3 Replies
349 Views
Habari wauza pochi na mikoba zile pochi na mikoba white huwa unasafisha kwa kutumia nini zisipoteze ubora wake
5 Reactions
7 Replies
466 Views
Mimi sio mwenyeji sana katika mji huu ila natamani sana kuanza biashara ya Nguo za watoto Katoro sema sina connection ya frame na bado sijajua fursa zilizopo Katoro Kwahiyo nawakaribisha...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Wakuu nina mpango wa kufungua maabara yangu je nitegemee kupata faida gani Kwa siku?
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread) Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe. Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
▪️ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini ▪️Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025 ▪️ Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni ▪️ Waziri Mavunde Awashukuru...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa...
5 Reactions
4 Replies
958 Views
Habar wakuu Juzi hapa nimefungua paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga. Je...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaams kwa jamii, nataka kupanda michongoma kama fence ya shamba langu. Nimewahi sikia unaweza kukata vipande vya mti huo na ukavipanda vikaota, sijui kama kuna ukweli? Lakini pia natafuta mbegu...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…