Huo u tofauti ni wa kila siku unapochukua pesa ATM au Leo ndiyo umegundua hilo.Nimeenda kutoa hela kwenya ATM, baada ya kutoa nikaangalia salio ambapo ilionesha kuna Actual balance na available balance, amount ya actual ni kubwa kuliko available balance, naomba kujua tofauti ya actual balance na available balance.