Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nina almost zana complete, hapa mtaani kuna library kadhaa, ningeomba usharudi jinsi ya kutafuta location ingine ni vitu gani nizingatie ili nipate wateja. Asanteni.
2 Reactions
7 Replies
904 Views
Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
6 Reactions
10 Replies
732 Views
Habari wadau nina shida na fremu ya biashara Iringa Mjini
0 Reactions
4 Replies
401 Views
Habari wana JF, naamini mpo salama na mna Afya njema. Nakuja kwenu tena nikihitaji hiyo spare part (enjoctor pump) ya mashine yangu Air compressor Jenbacher JW223. Matatizo: inachelewa sana...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa...
2 Reactions
3 Replies
823 Views
Hii Ndio SIRI Ambayo Imenichukua Miaka 03 Na Baada Ya Kusoma Vitabu... ...99+ Vya Mindshift Ikiwemo... -Think And Grow Rich -The Diary Of C.E.O -Rich Dad Poor Dad NA... Vitabu Vingine...
15 Reactions
47 Replies
3K Views
Yooo watu wangu wa nguvu, especially wale wa CBE na vyuo vingine, na hata mtaani – kama unajiona uko ready ku-push maisha yako next level, then this message is for YOU! Niko tayari kukupiga shule...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama kabisa na harakati zenu za kujenga Uchumi binafsi na watanzania huku mkiendelea kupambana kupata mgao wenu wa Keki ya Taifa ambapo...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Maisha yanaenda Kasi sana siku hizi pesa imekuwa muhumu na ya lazima kwenye Kila kitu lakini upatikanaji wake umekuwa mgumu sana kupelekea biashara ya mikopo kuwa biashara inayofanya vizuri...
1 Reactions
9 Replies
699 Views
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME ▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000 ▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia ▪️Aupongeza...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, natafuta mkanda (belt) wa mixer ya kupondea unga wa mkate kama picha inavyojionyesha, kama unao tuwasiliane
2 Reactions
0 Replies
244 Views
Namtu kanitumia jamaa yangu toka congo kabla sijaingia sokoni nijue nini macho yangu yanaona malaya garnet au rhodolite japo yeye anasema ruby
4 Reactions
23 Replies
1K Views
MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI "Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Natafuta fremu ya biashara maeneo ya temeke kodi isizidi 100k
1 Reactions
0 Replies
279 Views
Habari wakuu. Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja. Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta. Kiwanja hiki kinataka...
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Watu wengi tunashindwa kuwekeza kutokana na mazingira tuliopo, hasa sisi wa huku Town, tunaishia kusoma tu kwamba ufugaji ,kilimo kinalipa .
2 Reactions
1 Replies
266 Views
Hii fursa ya Uuzaji wa mazao ya kilimo, inalipa sana, vijana na wakubwa tuamke,,,
1 Reactions
3 Replies
422 Views
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara. Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom