Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu; Poleni kwa majukumu mbalimbali ya kuijenga nchi yetu. Mimi ni mtanzania niliyeajiriwa, nimekuwa na mikakati ya kujiariri mwenyewe na hususan kujiingiza katika sekta ya kilimo. Tayari...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana Board,kuna vitu vinanitatizi sana kuhusu Uchumi wa dunia ulivyo kwa sasa. Kwanza kabisa fedha ya Taifa fulani kuwa super currency wanaangalia vitu gani mfano ilivyo US $,Pound ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujua taratibu za kuanzisha biashara Raanda au Burundi. Kama kuna mtu anajua anisaidie. Na kama atakuwa kwenye skype, naomba anipatie skype ID yake tuweze kuongea. Natanguliza shukurani
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wana wa nchi,mwenzenu nina kiduka kidogo nahitaji kuongeza mtaji,naomba msaada namna ya kukopa benk,dhamana iwe duka lenyewe.is it possible? How?
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Wote wenye mtazamo wa kua gesi ibaki Mtwara wanahisi gesi itauzwa kwenye chupa. Maana wanapiga kelele kwenye swala la kitaalam bila kujua lolote. Elimu inahitajika ya kuwaelimisha watu na makundi...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Ndugu wanajamiiforum,nimefuatilia kwa kina asasi hii inayojiita Tanzania Loans Society,yafuatayo nimeyabaini: 1. Namba ya simu iliyotolewa kwaajili ya tigopesa ni ya bwana LWEMBO FELIX. Namba hii...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Tuesday, January 8, 2013 Na Deodatus Balile, Dar es Salaam Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeongeza ukusanyaji wa mapato katika bandari ya Dar es Salaam kutoka shilingi bilioni 28 mwezi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WATAALAM MBALIMBALI WA GESI WANASEMA KUSIMIKA NGUZO ZA GREDI YA TAIFA NI GHARAMA KULIKO KULAZA MABOMBA????? NAOMBA MCHANGO WENU WENYE MAKADILIO YA GHARAMA!!!!!!! NAWASILISHA HOJA!:israel::israel:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
LeightonCompletes Tanzania Single Point Mooring Project http://www.leightonoffshore.com/leighton_completes_tanzania_single_point_mooring_project.html Leighton Offshore hassuccessfully completed...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mheshimiwa waziri wa nishati na madini,amefafanua vizuri suala la gesi ya mtwara,kama wanasiasa uchwara,wataendelea kulipotosha,itabidi tuwafungulie mashitaka ya uchochezi
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Wakuu!Tangu tumeamka vodacom hawapo hewani.Mbaya zaidi nashindwa kumtumia mfanyibiashara mwenzangu M-Pesa.Inatokea sana
0 Reactions
6 Replies
2K Views
poleni kwa kazi ninaomba kwa anaeweza kunichanganulia garama halisi za gari aina ya Toyota hilux double cabin sports,hadi lifike dar es salaam bandarini mapato ya TRA yatagarimu kiasi gani...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya kufanyiwa kazi fulani na kukamilika nilipatiwa namba na wafanyakazi hao ili nimtumie bosi wao malipo kwa njia ya M-pesa, kwa bahati mbali walinipatia namba ya mtu mwingine kwa makosa na...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Ndugu wadau, Mikopo yenye riba kubwa inawatesa watanzania hasa watumishiwa umma.Hapa singida kuna taasisi za fedha zinakopesha wafanyakazi unakopa tsh.1 milion,unalipa zaidi ya tsh.3.5...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wangu. Wakuu naombeni maoni yenu. Kwa mfano mtu una pesa ambazo utahitaji kuzifanyia jambo fulani miaka mitano ijayo. Kwa kawaida watu huifadhi pesa bank ila nimefikiria...
3 Reactions
44 Replies
17K Views
Wakuu nilikwenda Tigo pesa mlimani ciy kuomba uwakala wakaniambia hawataki mawakala wapya. Waliopo wanatosha.Nikaenda Vada kuomba m pesa wakaniambia acha leseni na TIN tutakupigia kwa muda wetu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
As the government gets busier allaying public fears over the rising national debt, facts and the general situation on the ground may paint a different picture. It may be recalled that for the past...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Nahitaji CivilCAD 2012 software. Yeyote anayeweza kuniuzia aniambie. Mimi ninayo ila ni Trial Version. Kama kuna software engineer anayeweza kuifanyia cracking ajitokeze ili tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Wadau naomba mnipe mawasiliano ya mtu anayeuza filter za kusafishia maji ya kisima yenye chumvi pamoja na wireless router za cmu ni mhm n nmeona jamiiforums ndo duka pekee ambalo najua...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom