Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari jamani mimi ni mjasiriamali ni mtengenezaji mzuri wa sambusa za nyama na pilipili iliyopikwa vizuri na yenye radha zuri napokea order zote. number yangu ni 0713 516160
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF!! Hv ni kweli tatizo la kuanza kufanya ujasiriamali baada ya ajira kuota mbawa ni mtaji ama kukosekana kwa wazo viable la kijasiriamali!! Naomba tujuzane kwa kadri ya mtazamo wa mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
For those who are looking for: 1. A legal Extra income from their own effort and their network 2. Financial Freedom 3. Their own business 4. More spare time 5. Personal Development 6...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naaza kuchangia mada kwa kuangalia Ugiriki ambayo hivi karibuni ilikuwa kwenye mgogoro mkubwa na EU baada ya kuwekewa mashart magumu ya kubana matumizi ili wapewe pesa za kujinusulu kiuchumi na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Na: Meshack Maganga-Iringa. Moja ya mambo yanayoweza kujenga mfumo rasmi wa uendeshaji wa biashara ni kusajili biashara zinazoendeshwa katika mfumo wa kampuni. Kwa wajasiriamali wengi, neno...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau tafadhali mwenye taarifa kuhusu mikopo ya matrecta ya FARMTRACK tafadhali anijulishe,taarifa nilizo nazo ambazo hazina uhakikia ni kuwa yanauzwa milion 16 na ukitaka kukopa unalipa 50%...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Wadau habari zenu Kuna jambo moja linanitatiza wakuu nimeona nililete kwenu,mimi najihusisha na biashara ndogondogo,nimekua njia panda juu ya nini cha kukifanya mara nipatapo faida,ipi approach...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani wakubwa poleni na majukumu nilikua naomba ushauri. Nilikua nimefungua kampuni yangu na mpaka nimepata tin no.nataka kutafuta leseni ya biashara,na ninategemea kufanya kazi za kusupply...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
VITA NI VITA! Fastjet, the African airline backed by easyjet founder Sir Stelios Haji-Ioannou, faces having planes repossessed in a dispute over unpaid leasing bills in Tanzania. Soma zaidi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta gari ambayo inauwezo wa kubeba watu 7 au 6, na yenye uwezo wa safari ndefu katika barabara zetu za Tz. Nina mpango wa kutumia gari yenyewe kwa miezi mitatu tu na nimeshauriwa kuwa gari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuta dirisha la CRDB na Benki ya Posta zikitoa huduma za M-Pesa. Swali langu ni kwamba benki zimekubali kwamba haziwezi kuwa na mbadala wa kuwaondoa M-Pesa kwa mkakati wa kibiashara mpaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama wewe ni msambazaji wa bidhaa za afya kama SUPPLEMENTS, MEDICATED SOAP, MEDICATED SHAMPOO AND CONDITIONER na unafikiri unaweza kufanya mkataba wa usambazaji na kampuni yetu, tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhani kwa sasa itakuwa inaongozwa na Bakhressa kisha Mkewe Mkapa then Mwaziri wa serikali hiii bila kumsahau Lowasa Uchambuzi wa: Tanzania Tycoons List... - Page 6 - JamiiForums |The Home of...
0 Reactions
215 Replies
71K Views
Wakuu mimi na mdau mwenzangu wa mambo ya mifugo tuna wazo la biashara ambalo limeshafanyiwa yale yote yanayohitajika ikiwa ni pamoja na vibali kutoka taasisi husika. Kinachokwamisha utekelezaji ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
heshima kwenu wakuu, kuna jamaa yangu anaishi maeneo ya Tabora ana dumu zaidi ya 20 za lita ishirini kila moja za asali na anatafuta soko.anataka azitume nimuuzie but...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
house for sale at chanika with 4bedrom (unifished house)milion 13, house for sale at tabata self container milion120, house for sale at manyoni streat ilala milion 270, house for sale at bungoni...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Hisabati rahisi ya haraka ya kujumlisha na kutoa: Eti Vodacom wanakusanya shilingi ngapi kwa siku ktk shindano lao la MAHELA ambapo VODA watatoa ZAWADI za Tsh mil 400 tu hadi mwisho? Kila SMS ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nataka kuweka fedha katika fixed account, naomba kwa wenye uelewe mniambie ni bank gani hapa tanzania ambayo inatoa kiwango kikubwa cha riba kwenye fixed account. au kama kuna benk yenye akaunt...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amekutana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara), Makao Makuu Dar es Salaam kueleza uamuzi uliofikiwa kuhusu kukithiri kwa...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Back
Top Bottom