Hii inakuhusu sana, iwe unafanya biashara au unahitaji huduma binafsi za usafirishaji!
TUAGIZE SISI – WATAALAMU WA MIZIGO NA USAFIRISHAJI WA KUAMINIKA
Sisi ni kampuni ya Kitanzania yenye...
Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini
.
Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes)
.
Ponzi scheme Nini utauliza??
.
Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya...
#rent
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- UNUNIO BEACH
KODI TSHS ML 1,000,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu...
Niombe kusema neno moja kwa sasa kuna vitu avizuhiliki kamwe, moja ya hivyo vitu visivyozuilika ni DIGITAL CURRENCY pesa ya mtandaoni Cryptocurrency, ndo habari Duniani aikwepeki, kuna Bitcoin...
Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana...
Uzi huu ni special kwa ma-street kings & queens wanaotaka kuvuka level kutoka kubeba mizinga mtaani hadi kuwa ma-ceo wa biashara zao. Ukitaka kufanya biashara ya maana, ya ukweli, lazima ujue...
Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram)
1. Kwanza Inabidi uelewe
Biashara yoyote duniani ina kanuni moja
Sales = Attention + Trust + Offer...
Bila shaka familia ya JF, wote mko salama.
Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya...
Wakuu habarini za wakati,
Mmi ni graduate katika fani ya uhasibu na tehama, na experience katika kazi za freelancing na marketing nimefanya freelancer azam pesa, pia mambo ya loan officer...
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
Nilikuwa naomba ushauri wenu kwenye hiyo laki 9 nichukue pikipiki used ya laki 5 niifanye kama boda ya kuniingizia kipato alafu pia niwe naitumia kwenda kuuza dagaa sehemu mbali mali hasa hasa...
BIASHARA YA CRISP ZA TANGAWAIZI
Hii biashara ya clips za mchanganyiko wa Tangawizi mdalasin karafuu na asali
Ni moja kati ya fulsa iliyojificha
Mimi bunafsi kuna mzee huwa ananiuzia hizo clips...
Habari wakuu wa JF nyote. Nipe mbele yenu nahitaji ushauri, mawazo na hata connection juu ya masuala ya online business.
Mimi ni kijana na nilipo nina access ya internet (kuanzia saa tatu asubuh...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram
Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook &...
Nauza hizi mashine moja ni kwa ajili ya upepo na nyingine, kwa mwenye kuhitaji hizi anaweza fika kimara stop over kuja kujionea
Bei 4.5 kwa mashine la upepo na mazungumzo yapo
0715378899
Habari za wakati huu ndugu zangu Wa JF Natumaini nyote ni wazima naomba kuuliza hii kitu 👇 Huwa inapatikana sehemu Gani!? Na Huwa inaenda kwa bei gani!? Mawazo yenu ni muhimu
Imeandaliwa na Smart Finance SW
Watu wengi huogopa kufanya maamuzi ya kifedha kwa sababu wana hofu ya "kufanya makosa." Lakini ukweli ni huu: hakuna uamuzi mbaya katika fedha, kama umejifunza...
Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.