Clips zenye mixture ya Tangawizi,Karafuu,mdalasini,na asali.

ramso981

Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
16
Reaction score
8
BIASHARA YA CRISP ZA TANGAWAIZI
Hii biashara ya clips za mchanganyiko wa Tangawizi mdalasin karafuu na asali
Ni moja kati ya fulsa iliyojificha
Mimi bunafsi kuna mzee huwa ananiuzia hizo clips natafuna Tangawizi yenye vitu vyote hivyo lkn ni kava na unaweza kuuza hadi kwa officen (white collar job)
Sasa kama kuna mtu anaejua jinsi ya kutengeneza hizi clips atoe msaada kwa wajasilia mali wafaidike
Maana mm huwa nauziwa pact moja 3000
Na ni malighafi za kawaida
Pia niwaibie Siri atakaejua kutengeza hii a nitafute kwa wanaume lkn
Lkn Main topic ni biashara
And how to make them look like solid as other crispy
 
Clips ndio nini? Au ulimaanisha CRISP?

Pia hili ni tangazo kwamba unauza au unaomba ushauri wa hiyo biashara? Embu jazia nyama kidogo.
 
BIASHARA YA CLIPS ZA TANGAWAIZI
Hii biashara ya clips za mchanganyiko wa Tangawizi mdalasin karafuu na asali
Ni moja kati ya fulsa iliyojificha
Mimi bunafsi kuna mzee huwa ananiuzia hizo clips natafuna Tangawizi yenye vitu vyote hivyo lkn ni kava na unaweza kuuza hadi kwa officen (white collar job)
Sasa kama kuna mtu anaejua jinsi ya kutengeneza hizi clips atoe msaada kwa wajasilia mali wafaidike
Maana mm huwa nauziwa pact moja 3000
Na ni malighafi za kawaida
 
Clips ndio nini? Au ulimaanisha CRISP?

Pia hili ni tangazo kwamba unauza au unaomba ushauri wa hiyo biashara? Embu jazia nyama kidogo.
Hii biashara ya crisp za mchanganyiko wa Tangawizi mdalasin karafuu na asali
Ni moja kati ya fulsa iliyojificha
Mimi bunafsi kuna mzee huwa ananiuzia hizo clips natafuna Tangawizi yenye vitu vyote hivyo lkn ni kava na unaweza kuuza hadi kwa officen (white collar job)
Sasa kama kuna mtu anaejua jinsi ya kutengeneza hizi clips atoe msaada kwa wajasilia mali wafaidike
Maana mm huwa nauziwa pact moja 3000
Na ni malighafi za kawaida
 
Unataka kutengeneza vipande vya video vya mchanganyiko wa hivyo vitu ulivyovitaja?
Hii biashara ya clips za mchanganyiko wa Tangawizi mdalasin karafuu na asali
Ni moja kati ya fulsa iliyojificha
Mimi bunafsi kuna mzee huwa ananiuzia hizo clips natafuna Tangawizi yenye vitu vyote hivyo lkn ni kava na unaweza kuuza hadi kwa officen (white collar job)
Sasa kama kuna mtu anaejua jinsi ya kutengeneza hizi clips atoe msaada kwa wajasilia mali wafaidike
Maana mm huwa nauziwa pact moja 3000
Na ni malighafi za kawaida
 
Clips za pilau ndio zinalipa zaidi, japokuwa zinaweza kuwa kinyume na sheria na maadili ya nchi
Hhhha wabongo ni shida
Nilimaanisha kaukau

Aah nimekuelewa sasa "CRISPS". Hiyo Clips inaweza kumaanisha kingine rafiki.
 
Clips ndio nini? Au ulimaanisha CRISP?

Pia hili ni tangazo kwamba unauza au unaomba ushauri wa hiyo biashara? Embu jazia nyama kidogo.
Clips za pilau ndio zinalipa zaidi, japokuwa zinaweza kuwa kinyume na sheria na maadili ya nchi
Ngoja wataalam wa video na video editing wanakuja kukusaidia.
Mngeweza kupita bila ku coment kuliko kuharibu maana ya uzi, au mngemrekebisha kwa kumuambia neno sahihi ni crips kama mngekua na akili timamu.
 
Back
Top Bottom