Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana jf Nina swali kuhusu kuendesha biashara hasa unapokua umeoa!! Ni njia ipi italeta ufanisi wa biashara bila kuathiri ndoa yenu Kumpa mtaji afanye yake Kumfungulia biashara yake umuachie...
8 Reactions
117 Replies
5K Views
Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini...
1 Reactions
0 Replies
395 Views
Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit...
1 Reactions
0 Replies
386 Views
Karibuni wataalam wa uchumi na masuala ya kifedha. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
8 Replies
535 Views
Salamu kwenu, Kwa wataalamu wa matrekta, tusaidizane namna ya kupata trekta ya mtumba aina ya Massey Ferguson 165, bei yake kwa hapa nchini tanzania, ikiwa na mpini wake. Ili nianze kuseti...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Fursa kwa Wenye Mchele Una mchele lakini huna soko la kuuza? Au labda una mchele uliopata hitilafu kidogo na hujui wapi pa kuupeleka? Usihangaike tena! Tunakaribisha wakulima, wauzaji, na...
1 Reactions
10 Replies
995 Views
Salam wana Jf. Nina Simu yangu Samsung Galaxy Note9, Storage yake 128gb, Ram 6gb. Changamoto yake: Flickering kiswahili sijajua vzuri ila Kioo ni kama kinaonesha kufifia hivi. Kazi inafanya...
2 Reactions
10 Replies
944 Views
Guys, habari, ni mgeni kwenye hii familia nimejiunga JamiiForums baada ya kuwa nasoma ideas zenye mantiki bila kuwasilisha mine, Quick discussion, Nina million 4 nataka nianzishe biashara ya...
3 Reactions
4 Replies
699 Views
Wateja hawavutwi na bidhaa au huduma nzuri peke yake Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kuwa na huduma/bidhaa nzuri lakini hupati wateja. Bidhaa zako ni nzuri, zinaleta matokeo, una shuhuda za...
4 Reactions
1 Replies
520 Views
Wonderfully Sand Beach Plot for Sale at Kigamboni Dege ●Area ize 9.6 Acres ●Price 3m usd ●Document: Title deed Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
0 Reactions
2 Replies
407 Views
KWANINI BIASHARA NYINGI ZA FREMU ZINAFILISIKA HARAKA? Biashara ya fremu ni ile unakodisha chumba/sehemu sokoni au mtaa fulani, unaweka bidhaa zako na unasubiri mtu apite anunue. Hii biashara...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Karibuni sana kwa maswali na ushauri kuhusu suala zima la uuzaji wa movies
2 Reactions
1 Replies
596 Views
Kwa yeyote mwenye hizo bidhaa hapo juu namuomba PM tuyajenge.
1 Reactions
14 Replies
626 Views
1. Never outshine your client Mfanye mteja wako aone bidhaa au biashara yako ipo kwa ajili yake. Asione kama anakupatia pesa yake bali ajione atapata faida kubwa sana kulinganisha na huduma...
4 Reactions
3 Replies
679 Views
Unaweza Boresha zaidi unachofanya, Au ukaongeza kipato zaidi, Kuna kazi ukiwa unafanya inaruhusu kunyumbulika, jifunze namna ya kuboresha, Lakini zingine zipo limited Unaweza tumia njia mbili...
1 Reactions
9 Replies
723 Views
Picha inaonyesha tofauti ya faida kati ya uwekezaji wa TSh 1,000,000 kwenye hisa za CRDB na hatifungani yenye riba ya 15.95%, ndani ya miaka 5. 📌 Uwekezaji katika Hatifungani (Bond) ✔️ Uliwekeza...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Mfuko wa uwekezaji wa pamoja ni aina ya kampuni ambayo inajishughulisha na uwekezaji ambapo kampuni inakusanya pesa kutoka kwa wawekezaji wakubwa na wadogo na kuwekezwa kitaalamu chini ya...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo. Nicheki...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Ikiwa kuna mtu ana account ya google play console iliyoundwa kuanzia mwaka 2023 kurudi nyuma, na yuko tayari kuiuza Naomba tuwasiliane kwa namba: 0710445448
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Habari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…