Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa...
Ushawahi Jiuliza kwanini ukipanga jambo baadae unajipatia udhuru mwenyewe...
Ni kweli unajisemea saizi natunza kiasi Fulani Cha pesa mfano 100,000 lakini ikifika 20,000
Unaitumia???
Hata...
Kuwa mjanja na submita kata. Ondoa changamoto. Jifunze namna ya kuzitumia Mita janja. Submita hizi ni nzuri sana na utainjoy sana. Endapo ukijua kuzitumia. Kumbuka submita hizi haifungwa kwa...
Nawasalimu...Natamani mwezi August nifungue biashara ya kuuza mafuta ya kupikia,mchele na karanga. Kama kuna mtu yupo mikoa au eneo linalozalisha hayo mazao tunaweza kujadiliana namna yakufanya...
Habari ndugu zangu, toka nimeanza kazi yangu iliyotukuka nianayoipenda huu ni mwaka wa kumi sasa. Miaka ya kuzaliwa ni 37 .
Nashukuru kwa kidogo ninachoweza kujivunia ni kuwatengeneza baadhi ya...
Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme.
Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo...
Miaka miwili iliyopita, nilimshauri rafiki yangu kuwekeza kwa kununua hisa za CRDB zikiwa Tsh 400 kwa kila hisa. Leo, tumekutana tena, na akaniuliza, “Sasa hivi zimefikia shingapi?”
Nikamtazama...
Habari?
Kama mada inavyo jieleza nina mtaji wa 900,000 ila tayari nina Epson L3110, lamination machine na PC ambayo nitaanza nayo.
Je' nianze na vifaa vipi muhimu vya kuweka kwenye stationery...
Habari wakuu,
Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas Bi. Angelica Pesha akizungumza wakati wa hafla ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Mixx by Yas na DSE ambapo pia walizindua mini App ya DSE 'Hisa Kiganjani'...
1. Mgahawa/mama ntilie
Maeneo bora: Masokoni, migodini, stendi, karibu na vyuo au hosteli.
Faida: Mauzo ya kila siku, gharama ndogo za uendeshaji, wateja wa kudumu.
2. Udalali wa bidhaa na huduma...
Habari zenu wanajamvi,
Mm ni mmojawapo wa watumiaji na wawekezaji wa sarafu za mtandao (cryptocurrency) pia ni mwajiliwa wa taasisi fulani, katika kipindi hiki cha bullish naona sarafu zinapanda...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AIPONGEZA TCAA UIMARISHAJI ANGA
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametembelea na kuipongeza Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwa kusimamia kwa mafanikio...
SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUANZISHA VITUO VYA KUKODISHA MITAMBO YA UCHIMBAJI MADINI
▪️Hatua hiyo kuongeza uzalishaji wa madini nchini
▪️Nyamongo kuanzishwa Kituo cha Elimu ya Uchenjuaji Madini...
📘
🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda.
📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio.
1️⃣ Gawio...
Recently nimepokea taarifa mbaya kutoka kwa jirani wa mfanyabiashara mmoja!ambaye amevamiwa usiku na watu wenye silaha,wakamcharanga mapanga,wakampora hela na kutokomea kusikojulikana!..huyo jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.