balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,869
- 15,739
Kwa yeyote mwenye hizo bidhaa hapo juu namuomba PM tuyajenge.
Sema uko wapi?Kwa yeyote mwenye hizo bidhaa hapo juu namuomba PM tuyajenge.
Sema uko wapi? Na unahitaji mzigo wa kiasi gani?
Nahitaji makuukuu bei yangu TSH 400 kwa kilo2500 kwa kilo ya magazeti upo tayari? Ni mapya na yamenyooka
Fanya 200 kwa kiloNahitaji makuukuu bei yangu TSH 400 kwa kilo
Niko Dar nahitaji mengi sana.bei 400/= kwa kiloSema uko wapi?
Na unahitaji mzigo wa kiasi gani?
SijakusomaFanya 200 kwa kilo
Usingenisoma usingejibuSijakusoma
Bei yako ipo chini sana kamandaNiko Dar nahitaji mengi sana.bei 400/= kwa kilo
Wewe unataka ngapi?Bei yako ipo chini sana kamanda
3000 kwa kilogramWewe unataka ngapi?