Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo...
Mimi ni mkristo lakini nakiri kwamba wenzetu waislamu ni waaminifu zaidi unapofanya nao biashara.
Naelewa uaminifu ni hulka binafsi ya mtu hata kule Zanzibar kuna matapeli wa Pemba wa TV na...
🔁 Katika somo letu lililopita, tulijifunza kuhusu faida ya gawio — sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa.
📍 Leo, tunachambua tarehe muhimu zinazotajwa kampuni inapokuwa imetangaza...
Sauti Safi na Basi Nzito: Vina spika za 13mm zinazotoa sauti yenye uwazi na basi yenye nguvu, inayofaa kwa wapenzi wa muziki. ✅
Uondoaji wa Kelele kwa Simu (AI ENC): Teknolojia ya AI ENC...
Njia 5 Rahisi za Kutengeneza Tsh 10,000 Kila Siku Kupitia Simu Yako 📱 na Internet 🌍
👉 Unahitaji tu simu ya mkononi
👉 Internet ya kawaida
👉 Akili ya kujifunza na kuchangamka
Huna mtaji mkubwa...
Katika jamii nyingi, nyumba za ibada zimekuwa zikizingatia mafundisho ya Kiroho pekee. Maisha ya Kiroho ni muhimu sana, lakini hayawezi kutenganishwa na maisha ya kila siku, hasa yale yanayohusu...
Habarini wana JF, Poleni na majukumu.
1. Natoa huduma ya kuandaa Deed Poll( Change of names) Kubadilisha majina yaliyopo kwenye vyeti kama yamekosewa
Cheti cha kuzaliwa
Cheti cha NIDA
Vyeti vya...
MINING EXPO 2025 YAHITIMISHWA KWA MAFANIKIO – RC TELACK ATOA WITO WA KUCHANGAMKIA FURSA
Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoa wa Lindi 2025 yamefungwa rasmi leo, tarehe 14 Juni 2025...
Hivi unajua kwamba mamlaka ya mapato wanaweza kukuongezea Kodi?
Kitaalamu hii inaitwa Tax Jeopardy.
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea ukafanyiwa Tax Jeopardy mfano;
1. Unashindwa...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki
Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
Habari wana JF
Moja kwa moja kwenye mada. nimechoka kufanyia kazi nyumbani mimi ni frelancer nahitaji office space ukubwa km huu kwenye hii video maana wateja wangu wengi ni wa online. naomba km...
Zaytun Swai Ataka Kujua Mkakati wa Serikali Kuvutia Wawekezaji wa Biashara ya Kaboni katika Mkoa wa Arusha
Serikali imetoa wito kwa sekta binafsi na wananchi kwa ujumla kuendelea kuchangamkia...
Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!
Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi...
Hello wapendwa[emoji112]
Wale tunaopenda kujiajiri inatuhusu hii
Ideas tofauti[emoji1370]
Kama hauna mtaji
Unaweza kwenda kkoo ukachukua vitu kwenye maduka ya jumla ukapanga kwenye barabara...
Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni...
Habari wana JF.
Wafanya biashara wote na wale mnaotarajia kuanza biashara majengo haya ya DDC na BIG BON Kariakoo yamekamilika.
Hapo unaweza kufanya biashara ya viatu, biashara ya miamala...
Dokta Manguruwe alivuma sana na mradi wake wa nguruwe pale dodoma, na mara nyingi alionekana mtaani, mara kwenye mechi ya Simba akigawa fedha. Sasa hasikiki tena Yuko wapi dokta Manguruwe????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.