Habari wana JF.
Ni karibu mwaka sasa tangu nimalize masomo yangu ya chuo kikuu na hatimaye kutunukiwa shahada yangu ya kwanza. Nimekuwa nikituma maombi ya kazi sehemu mbali mbali nikiamini kuwa...
Wana jamvi naomba mwenye ufahamu katika hili anijuze,
Kuna jamaa yangu yupo Dar kaniambia zinatafutwa hela za zamani zipo nyingi tatizo miaka ilotajwa hakuna kabsa. Nilipoingia kwenye makolokolo...
Ijumaa wiki iliyopita nilipeleka gari langu aina ya TOYOTA SPACIO(old model) kwa fundi ili kubadili CV joints maana zilikuwa zinapiga kelele. Baada ya kazi nilikabidhiwa gari langu lakini...
I am online based travel marketer working with hotels and resorts on social media management and online reputation management.
I have been working with some property sales managers online through...
Heshima kwenu waKUU
Ikimpendeza MUNGU mwishoni mwa Mwezi ujao nategemea Kumfungulia YF MIN MARKET maeneo ya MBEZI ya KIMARA bado cjapata Eneo..! Ninachoomba kwenu ndg zangu Wapi nitapata Bidhaa...
Nianze kwa kuwauliza wanajanvi, ni asilimia ngapi ya pato lako halisi hukatwa kama kodi kupitia mfumo wa lipa kwa kadri ya upokeavyo (PAYE)?
Waziri Kombani kaueleza umma bungeni hivi punde kuwa...
MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln
Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu ya pesa...
Hapa naomba ushauri.
Mimi ni mwanamke mjasiriamali. Shughuli yangu ni kununua ndoo za mafuta zilizoisha na kubadilishana na kuku wa kienyeji mpakani mwa Tanzania na Msumbiji na Msumbiji kwenyewe...
Wadau naomba kujua kuhusu huu mtandao wa Shopping online.
Kama kuna mdau alishawahi kununua kupitia mtandao huu kwa
Tigo Pesa. Wanaaminika na delivery ikawa successful?
Naomba kuwasilisha wadau
Habari wana JF, Nategemea kuvuna mahindi hivi karibuni (Tanga),ningependa kuja kuyauzia Dar kwa gunia ila sijafahamu soko lake likoje na wanunuzi hasa ni wakina nani..Kiujumla sijui pa kuanzia kwa...
Heshima kwenu wakuu wa hili jukwaa tukufu
Wakuu nahitaji kujua brand gani kutoka UK ya vifaa vya umeme kama balbu,nyaya,socket,switch,circuit breakers,extensions,multi-plugs,nakadhirika ambayo...
Kichwa cha habari cha husika mm nina tumia Huawei Ascend y 210 nina taka kubadilishana na mtu yeyote mwenye simu aina ya Tecno L3 ila simu yake iwe nzima mm yangu ni nzma kabsa kwa mawasilaano...
Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hili nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyingi sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa ...
Unsuccessful people criticize: They will find something wrong with everything and will blast your failures and shadow your successes. They will be the negative voice that doesnt believe in...
Wadau habari zenu, kama nilivyoeleza hapo juu nahitaji mtaalam yoyote kutoka wizara ya madini anisaidie kunieleza kuna aina flani ya mchanga wa madini yanayotumika sana kwenye viwanda vya chuma...
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya...
For three days I spent at Hong Kong, I did not see any expensive vehicle like Toyota Landcruiser GX or VX - our government should do away with luxuriously cars instead use economy cars like NOAH...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.